01/10/2023
NJIA RAHISI NA HALALI YA KUPATA MTAJI MKUBWA WA KUTRADE KWENYE SOKO LA FOREX;
By; khan π₯
Je, unahitaji kutrade kwenye soko la forex na Mtaji mkubwa lakini mpaka sasa haujafanikiwa?
Dunia kwa sasa imebadilika, hata kwa mtu ambaye hana Mtaji mkubwa wa kutrade kwenye soko la forex anaweza sasa kufanikiwa KUMILIKI account kubwa ya forex Kupitia kitu kinaitwa THE RETAIL PROP FIRMS.
Moja ya prop FIRM kubwa inayokuwa kwa kasi Duniani ni pamoja na The trading Pit prop firm (https://www.thetradingpit.com/challenges-overview?ref=y2m2yju&vchr=IKHANFXTTP23) ili uweze kupatiwa account kubwa ya kutrade kwenye soko la forex na UHAKIKA wa mpaka 80% ya faida utakayoitengeneza kuwa ni ya kwako na ukaweza kuitoa.
Hizi ni account Ambazo unalipia kiasi cha fedha ili wao waweze kuanza kukupima na ukifaulu kwenye vigezo vyao ndipo sasa utapatiwa account (Real account) ambayo utakuwa una trade kwa CONDITIONS maalumu ili kuto kuunguza account hiyo. Na ukiweza kutrade kwa kuzingatia vigezo hivyo , kwa kweli utakuwa umejitengenezea NJIA YA MAFANIKIO MAKUBWA.
Prop firm hii inatoa account kuanzia $10,000 mpaka $100,000 na kila account unalipia kiasi ambacho Ukifauli test zao UTARUDISHIWA hiyo pesa yako.
Account ya $10,000 unalipia $99, ya $20,000 unalipia $179, ya $50,000 unalipia $399 , ya $100,000 unalipia $999
βοΈIli kujisajili na PROP FIRM hii kubwa kabisa unaweza kuanzia hapa kwa ku click hii link na itakupeleka moja kwa moja kwenye hatua za usajili: https://www.thetradingpit.com/challenges-overview?ref=y2m2yju&vchr=IKHANFXTTP23
Na kwa maelekezo zaidi kuhusu PROP FIRM hii wasiliana nami moja kwa moja kwa namba hizi : 0757737878 .
π₯Imetolewa na ikhanfxπ₯