Airpay tanzania

Airpay tanzania Providing a robust omnichannel platform that enables every touch point and instrument

25/08/2026
Simusolar na  airpay Tanzania zajipanga kushirikiana Kampuni inayojihusisha na uuzaji wa vifaa vya kilimo, Simusolar Tan...
24/08/2026

Simusolar na airpay Tanzania zajipanga kushirikiana

Kampuni inayojihusisha na uuzaji wa vifaa vya kilimo, Simusolar Tanzania, imekutana na airpay Tanzania kwa lengo la kujadili na kuweka msingi wa ushirikiano wa kimkakati baina ya kampuni hizo mbili.

Katika kikao hicho, Simusolar Tanzania iliwakilishwa na Kiongozi wa timu ya mauzo – Dar es Salaam, Maria Manyaga,Msimamizi wa mauzo Masalu Ilagila, pamoja na Meneja biashara, Salehe Sewando.

Kwa upande wa airpay Tanzania walihudhuria ni Msimamizi wa Teknolojia ya Kilimo Elias Lugobi na
Meneja wa Uendeshaji wa Kilimo, Douglas Mutembei.

Kampuni ya airpay Tanzania yashiriki mkutano wa Fintech 2026Mkuu wa Kitengo cha Biashara Kampuni ya airpay Tanzania, Ayn...
20/08/2026

Kampuni ya airpay Tanzania yashiriki mkutano wa Fintech 2026

Mkuu wa Kitengo cha Biashara Kampuni ya airpay Tanzania, Ayne Magombe (wa kwanza kushoto) pamoja na Afisa wa Masuluhisho ya Mikopo Kampuni ya airpay Tanzania, Beatrice Tungu, (wa kwanza kulia) wameshiriki katika Mkutano wa Fintech unaofanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere (JNICC), Dar es Salaam.

Mkutano huo umewaleta pamoja wadau mbalimbali wa sekta ya teknolojia ya fedha kwa ajili ya kujadili ubunifu, fursa na maendeleo ya huduma za kifedha kidijitali.

25/06/2026

Mambo ni safi! Sasa unaweza kupokea malipo kwa kadi za Visa na MasterCard kupitia airpay linkpay. Fanya biashara yako iwe rahisi zaidi kwa kupokea malipo kwa usalama, haraka na kwa urahisi kutoka kwa wateja wako popote walipo.

Jisajili sasa!. Wasiliana nasi:

📞 0699 999 300
📧 [email protected]
🔗 https://bit.ly/48xUApn

22/05/2026
Celebrating the women who secure our future with love, strength, and care 💙Happy Mother’s Day from airpay. 🌸
10/05/2026

Celebrating the women who secure our future with love, strength, and care 💙
Happy Mother’s Day from airpay. 🌸

Address

2nd Floor Muzammil Center, Mlandege Rd
Unguja

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Airpay tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Airpay tanzania:

Shortcuts

Share