Young money star boy

Young money star boy C.E.O & MD of
(Usafini)


Kalinjuma Offocial Dj momo simba

31/05/2019
22/04/2019

Ndugu & Rafiki Yangu Tambua Wewe Ni Nani Na Umeletwa Duniani Kufanya Nini..Tambua Maisha Haya Ya Duniani Yana Mwisho..Jiulize Ni Ndugu Zetu Na Marafiki Zetu Wangapi Wameondoka Kwenye Uso Huu Wa Dunia Je Mimi Na Wewe Tumejiandaa Vipi Na Safari Hii Maana Kila Mmoja Wetu Ni Wajibu Kupitia Safari Hii..Tufanye Ibada Na Tutubu Makosa Yetu Yote..Na Tufanye Ibada Itokayo Ndani Ya Nyoyo Zetu Na Si Ibada Ya Kujionyesha Kwa Watu(ili Flan Anione Na Mimi Na Sali Siku Izi) Na Tusisahau Kumpa Shukrani Mungu Kwa Kuendelea Kutupa Pumzi Ambayo Hatulipii Ata Senti Moja..Na Pia Tusisahau Kutenda Wema Kila Siku..Maisha Ya Duniani Ni Mafupi..Tambua Kuna Maisha Mengine Baada Ya Kuondoka Katika Uso Wa Dunia

Hahaha bongo movie mungu anawaona
29/03/2019

Hahaha bongo movie mungu anawaona

Tujadili pamoja mdau wa  Ni msanii gani Anakukonga sana na nyimbo zake hapa kwetu Tanzania
18/02/2019

Tujadili pamoja mdau wa

Ni msanii gani Anakukonga sana na nyimbo zake hapa kwetu Tanzania

Happy birthday bibie
31/12/2018

Happy birthday bibie

Paula P Kajala
19/11/2018

Paula P Kajala

Happy birthday miss ean  sema nn Mungu akupe miaka k**a yote yan
06/10/2018

Happy birthday miss ean sema nn Mungu akupe miaka k**a yote yan

Moment of silence Pole sana my friend mwarabu fighter
06/08/2018

Moment of silence Pole sana my friend mwarabu fighter

Happy birthday king chuse Allah Akujalie umri mrefu kaka
24/07/2018

Happy birthday king chuse

Allah Akujalie umri mrefu kaka

Happy birthday mzee baba  Liv long life mgumu mwenzangu
23/07/2018

Happy birthday mzee baba

Liv long life mgumu mwenzangu

11/07/2018

Sijawahi kuwa Upande wa England Tangu nizaliwe Leo Mimi ni

k**a na ww ni Team Croatia like na comment twende pamoja mpka Urusi

18/06/2018

Address

Shinyanga

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Young money star boy posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share