Nad Insurance Agency

Nad Insurance Agency Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Nad Insurance Agency, Financial service, Kenyatta Road, Near Mwanza Hotel, Mwanza.

Super Agent: TANZANIA MNO's | CRDB | NBC | Azania | TCB
Merchant Aggregator: M-Pesa | CRDB | Halopesa | Airtel Money
Retail Shops: VODACOM TANZANIA PLC.
📍Lake Zone

Kuwa CRDB WAKALA ni BONGE LA DILI , ikiwa unaendelea kufanya miamala na kuweka FLOAT unaweza kupata zawadi mbalimbali ik...
05/06/2026

Kuwa CRDB WAKALA ni BONGE LA DILI , ikiwa unaendelea kufanya miamala na kuweka FLOAT unaweza kupata zawadi mbalimbali ikiwemo:
- Milioni 10 taslimu
- Friji
- Pikipiki/Bodaboda

CRDB WAKALA, BONGE LA WAKALA!

02/06/2026
02/06/2026

CRDB WAKALA ni Bonge La Wakala.

Katika uzinduzi wa "Bonge La Wakala" jijini Mwanza, Triphonia kutoka Nad Insurance Agency, aliweza kutoa maoni na nguvu ya kujiamini katika kuhakikisha ananufaika na "Bonge La Wakala"

02/06/2026
29/05/2026

Ikiwa unahitaji router itakayoendana na mahitaji yako basi NAD Insurance Agency ni sehemu ambayo hupaswi kuikwepa.
Tuambie matumizi yako Kisha sisi Tukuletee router inayoendana na mahitaji yako.
Tuna router kuanzia 70,000 mpaka 500,000 na vifurushi kuanzia 60,000 mpaka 600,000 tu. Kwa taarifa zaidi unaweza kuwasiliana nasi: +255745611357

27/05/2026

Ikiwa Leo ni siku ya Eid Al Adha, NAD Insurance Agency inaungana na waislam duniani kote kuadhimisha sikukukuu hii. NAD Insurance Agency inapenda kuwajulisha wateja wote kuwa huduma zote zinazotolewa na NAD Insurance Agency zinaendelea k**a siku zote.
Eid Al Adha

Address

Kenyatta Road, Near Mwanza Hotel
Mwanza

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nad Insurance Agency posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share