DENIC Onecoin Tanzania

DENIC Onecoin Tanzania Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from DENIC Onecoin Tanzania, Financial service, nyegezi, Mwanza.

  [NETWORK MARKETING]  Hii ni biashara mtandao inayofanyika dunia nzima bila kujali mipaka ya nchi flani. Wengine wanaji...
04/09/2016

[NETWORK MARKETING]

Hii ni biashara mtandao inayofanyika dunia nzima bila kujali mipaka ya nchi flani. Wengine wanajiunga k**a maagent wa kuuza bidhaa na wengine k**a wawekezaji tu, inategemea malengo yako kibiashara ni yapi. Kwasababu sisi ni watafutaji waliowengi baada ya kujiunga huwa wanawaalika na watu wao wa karibu wanaotaka nao wasiachwe nyuma katika mafanikio na kuwaunganisha chini yao, nao hufanya hivyo kwa watu wao pia ili kukuza uzao na kila anayeingia hufanikiwa kwa upande wake. Hawa huingia kwa mtazamo wa kijasiliamali hivyo mafanikio yao zaidi yatategemea jitihada zao katika hiyo biashara. Baadhi ya makampuni ya biashara mtandao ni k**a FOREVER, GNLD, TIENS, OLIFREM na haya yote washiriki wake hufanikiwa kwa kuuza bidhaa za kampuni husika. Hebu sasa tujaribu fursa isiyo ya kuzunguka mtaani kuuza bidhaa – crypitocurrency!

FURSA MPYA [CRYPITO CURRENCY/DIGITAL MONEY]

Crypito currency ya kwanza kutengenezwa ilikuwa bitcoin miaka ya 2009. Hii ililenga matajiri pekee na kwa hapa Tanzania walikuwemo wawekezaji wawili tu. Hivi sasa kuna jumla ya crypito currencies 504 katika crypito market ambazo zote hizi currency price ilianzia kutoka 1$ hadi 1500$. Kwasababu crypito currency si zao la nchi flani au benki kuu, gharama yake hutegemeana na sababu k**a matumizi, uhitaji na uhitajiwa, hivyo hufananishwa na dhahabu. Jinsi inavyotumika zaidi ndivyo na gharama yake inavyozidi kupanda. Kwangu mimi naona k**a hii ni fursa sahihi iliyokuja kwa wakati sahihi!

YALIYOMO NDANI YA CRYPITO CURRENCY - ONECOIN

Kila mshiriki anaweza kutengeneza faida kutokana na hizi crypito currencies baada ya kujiunga, sasa basi huu nimuda wetu kununua onecoin kwa gharama nafuu. Onecoin inaweza kununuliwa kwa kutumia token, sasa thamani ya token inapanda kwa onecoin, jaribu kununua haraka iwezekanavyo. Onecoin siyo opensource hivyo hakuna anayeweza kuona taarifa zako au kuingilia miamala yako. Hii iko salama kwa kuwa inalindwa na kuangaliwa na timu nzima ya onecoin kwa kufanya ukaguzi wa blockchain kila mara. Kwa kuwa mtandao wa bitcoin uliwa kuingiliwa na karibia usd 72m zenye thamani ya bitcoin 119,756 kuibiwa kutoka katika akaunti za wateja, zilitolewa usd 100,000 kwa mtu yeyote atakayeweza kuingilia mawasiliano au hata miamala ya members wa onecoin lakini mpaka sasa hakuna aliyeweza. Mkurugenzi na mwanzilishi wa onecoin ni mwanamama Dr.Ruja Ignatova kutoka Bulgaria.

ONE COIN NI NINI

Onecoin ni kampuni ya kidunia iliyo na masoko yake katika mabara ya Ulaya, Asia, Latin America na Africa. Kampuni imefungua ofisi zake Ulaya, Hong Kong na UAE. Tokea kuanzishwa kwake takribani miaka miwili iliyopita imeshatengeneza mamilioni ya miners duniani kote. Kwa kupitia One Academy platform kampuni inatoa elimu ya kina juu ya masoko ya kifedha, crypitocurrency, ufanyaji biashara na uwekezaji. Onecoin ni aina mpya ya digital money - a digitally created currency based on advanced mathematical algorithims called mining. Washirika wa Onecoin wanaweza kupata faida kupitia njia nyingi k**a vile mapato kutokana na uwekezaji wa moja kwa moja, mapato ya network uliyotengeneza, mapato kutokana na biashara ya digital currency, mapato kutokana na biashara ya aurum gold coin, etc. ofa za members ni pamoja na one life points, one payment cards, one exchange service, nk

NITAFAIDIKA NINI KUJIUNGA NA FURSA HII

Faida za onecoin ni pamoja na uharaka wa kufanya miamala kwa gharama nafuu sana, ina ulinzi wa hali ya juu ukilinganisha na benki zetu za kawaida, unanunua kwa bei ndogo na kuuza kwa bei kubwa. Bei ya onecoin huongezeka siku baada ya siku kwa sababu ya mahitaji makubwa ya watu kutoka kwenye nchi zote zinazotumia mfumo huu/coin hivyo biashara itakua kwa kasi na bei ya onecoin itafikia hadi 1500$ kwa coin moja. Ukiwa mwekezaji na mfanyabiashara katika mfumo huu jiangalie sasa wewe wakati huo utakuwa katika hatua gani! Hapa tunatumia pesa kununulia onecoin lakini faida itakuwa kubwa mara 100 ukilinganisha na kiasi ulichowekeza. Gharama ya currency hii ni zaidi ya usd, euro na currency zingine sababu ni kwamba gharama yake hutegemeana matumizi, uhitaji na uhitajiwa. Mfano Augusti 20, 2016 onecoin 1 ni euro 6.9, matarajio ni kuwa ifikapo Desemba 1, 2016 onecoin 1 itakuwa euro 10. Baada ya miaka 2 hadi 3 onecoin 1 inatarajiwa kufikia euro 500 hadi 1500. Fikiria baada ya muda huo k**a una onecoin 100,000; naamini jina lako litakuwa miongoni mwa orodha ya mamilionia Tanzaia!

NDANI YA ONECOIN KUNA NINI

Onecoin inatoa elimu juu ya biashara ya fedha, ujasiliamali, uwekezaji na mitaji. Ndani ya onecoin kuna vifurushi 8 na kila kimoja kina hatua yake ya elimu juu ya fedha na uwekezaji. K**a lengo lako ni kusoma pia utapata material ya kujifunzia online na ukifaulu utapewa cheti katika level husika. Vifurushi hivi 8 kila kimoja kina gharama yake k**a ifuatavyo: Starter euro 110, Trader euro 550, Pro-trader euro 1100, Excutive trader euro 3300, Tycoon trader euro 5500, Tycoon+ trader euro 7500, Premium euro 13750, Infinity euro 27500 na Ultimate ni euro 118000. Katika vifurushi vyote hivi gharama za kujiunga ni euro 30 pekee

NAWEZAJE KUJIUNGA NA FURSA HII

Utaweza kujiunga na fursa hii pale utakapo pata mwaliko kutoka kwa mtu ambaye tayari ni miner na baada ya kupata maelezo uliyoridhika kwayo juu ya fursa hii. Utafungua akaunti ya onecoin nakupokea barua pepe yenye utambulisho ikikutaka kuhakiki usajili wako k**a mteja. Pia itatengenezwa e-warret/Acc. kwa ajili yako zitakapotunzwa fedha zako. Kampuni inaruhusu mtu kuingia bila malipo na kujionea mwenyewe jinsi biashara za kampuni zinavyofanya kazi, lakini hatapewa fursa ya kuona taarifa na huduma zote. K**a utahitaji kupata taarifa zote utalazimika kuwa miongoni mwa miners.

BAADA YA KUJIUNGA NI KWA KIASI GANI NITAFAIDIKA

Kiasi gani utafaidika itategemea k**a wewe ni mjasiliamali au ni mwekezaji na kiasi gani ulichowekeza wakati unaianza fursa hii, unaweza ukaanza kwa kununua kifurushi kimoja au ukaamua kuchanganya vifurushi viwili au vitatu itakayokusaidia kuongeza idadi ya mgawanyo/split. Tuangalie hapa chini ili uone uko upande gani:
K**a umeanza kwa kununua kifurushi kimoja haya ndiyo matokeo yake:
KifurushiBei [euro]Ngazi ya elimuToken utakazopataNa ya splitNa. ya token baada ya splitMatarajio ya coins utakazopataStarter110Level 11,00012,00031.7Trader550Level 1-25,000110,000158.7Pro-trader1100Level 1-310,000120,000317.45Excutive trader3300Level 1-430,000160,000952.38Tycoon trader5500Level 1-560,0002240,0003,000Tycoon+ trader7500Level 1-52Premium13750Level 1-6160,0002600,0007,500Infinity27500Level 1-6300,00032,4000,00030,000Ultimate118000Level 1-64N:B Difficult inayotumika sasa ni token 70 kwa coin 1

K**a umeanza kununua kwa kuunganisha vifurushi badala ya kuchukua kifurushi kimoja pekee haya ndiyo matokeo yake:
KifurushiBei ktk[euro]Token utakazopataNa. ya splitNa. ya token baada ya splitMatarajio ya coins utakazopataStarter na Trader6606,000224,000342Starter na Pro-Trader121011,000244,000628Starter na Excutive trader341031,0002124,0001,771Starter, Excutive trader na Pro-Trader451041,0003328,0004,685Starter na Tycoon trader561061,0003488,0006,971Starter, Trader na Tycoon trader616066,00041,056,00015,085N:B Difficult inayotumika sasa ni token 70 kwa coin 1

NIKIHITAJI KUWAINGIZA WAJASILIAMALI WENZANGU KUNA FAIDA ZAIDI NITAKAYOPATA

Bila shaka hapo sasa ndio utakuwa umeingia kwenye ujasiliamali haswaa. Kadri utakavyokuwa umewaingiza wengi zaidi ndivyo na ndoto yako ya kuwa milionea itakavyoenda kutimia. Utapata kuanzia 10% hadi 25% ya kianzio cha miner wako. Hebu angalia hapa chini itakavyokua:

FURSA HII IKO TANZANIA TU AU KUNA NCHI NYIGINE

Hapana fursa hii iko zaidi ya nchi 136 duniani na Tanzania ikiwemo. Ila kwa hapa kwetu imeanza mwezi wa 2/2016. Miongoni mwa hayo mataifa 136 yaliko katika mfumo huu ni pamoja na China, Marekani, Uingereza, Uganda, Nigeria, India, Brazil, Vietnam, Ujerumani, Tunisia, Sweden, Afica Kusini nk.
Karibu katika hii fursa ya onecoin ambayo inaenda kubadirisha maisha yetu kwa kiwango kikubwa.

Jisajili kupitia hii link: http://onecoin.eu/signup/Denic1

WEKA NAMBA AU NITEXT WATSAP (0759425885)JE UNATAKA KUFANIKIWA KIMAISHA?ONECOIN IPO KWA AJILI YAKO. ONECOIN NI NINI?ILI K...
04/09/2016

WEKA NAMBA AU NITEXT WATSAP (0759425885)

JE UNATAKA KUFANIKIWA KIMAISHA?
ONECOIN IPO KWA AJILI YAKO.
ONECOIN NI NINI?
ILI KUIJUA ZAIDI NA NAMNA UNAWEZA KUNUFAIKA NAYO WEKA NAMBA HAPA NIKUUNGE KWENYE GRUPU LA WATSAP NA UPATE KUIFAHAMU NA KUANZA KUPIGA TEKE UMASIKINI.

Jisajili kupitia hii link: http://onecoin.eu/signup/Denic1

 *Darasa la Leo Kuna watu wanakosa fursa kwa kuwa wanakuwa hawajui kwa kina nguvu ya fursa fulani....LEO NITATOA elimu k...
04/09/2016

*

Darasa la Leo Kuna watu wanakosa fursa kwa kuwa wanakuwa hawajui kwa kina nguvu ya fursa fulani....LEO NITATOA elimu kidogo juu ya onecoin.. ONECOIN nini? ONECOIN ni pesa ya kidigitali ama wanaita digital currency au crypto currency....pesa hii ya kidigitali haina tofauti na mpesa ama tigopesa...hapa namaanisha nini...ukiwa na 50,000 mpesa hiyo ni digital(number) na si paper notes....hivyo hata onecoin si kwamba ni coin ama sarafu bali ni number k**a mpesa etc....hii ni k**a technology zingine...mfano ukinunua vocha unapata numbers,kuinunua umeme unapata tokens(numbers) lakini hizi numbers zinakuwa value carrier..na unique.. Hii pesa ya kidigitali inakuja kuboresha na kupanua uwigo wa mobile money transactions k**a mpesa etc....kwa kufanya utumaji wa pesa duniani kupitia simu za kumkonini Bila kikwazo.... Haya yote yamewezekana kwa kugulindulika kwa technology mpya duniani iitwayo blockchain technology (digital ledge) daftar la kumbukumbu la kidigitali linalofanya miamala (transactions) na kutunza kumbukumbu automatically Bila kuhitaji mtu wa kati (middle man) .... Kwa kusema hivyo kupitia digital currency (pesa ya kidigitali) soon tutatuma pesa popote pale duniani instantly kutumia simu zetu za mkononi....k**a tunavyotuma mpesa kijijini kwa babu...instantly... Tofauti na mpesa ambayo inatumia network za simu...digital currency inatumia Internet(blockchain) .......MPESA imeshindwa kuwa global maana inategemea network za simu ..digital currency itakuwa global kwa kuwa inatumia Internet...this means soon utatuma pesa popote pale duniani k**a unavyotuma email etc... Kuna zaidi ya watu 3.3bilion duniania wanaotumia Internet na ifikapo 2020 tutakuwa 5bil sasa kwa technology hii mambo yatakuwa mwendo mdundo......na ifikapo 2020, 90% ya watu duniani watamiliki simu za mkononi...... Usilazie damu fursa hii jifunze sasa fursa hii kwa kuwekwa kwa group la Whatsup +255759425885Karibu. Asante

Jisajili kupitia hii link: http://onecoin.eu/signup/Denic1

Address

Nyegezi
Mwanza

Telephone

0759425885

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when DENIC Onecoin Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share