12/05/2025
Habari za kazi wapendwa Wajasiriamali na Wafanyabiashara,
Menejimenti ya Muhunda Resources inapenda kuwakumbusha kuwa tunaendelea na Usajili wa Vikundi, Biashara na Makampuni.
Kwa wenye Makampuni, pia tunatoa huduma ya Uhuishwaji wa shughuli za kila mwaka za kampuni (Companies' Updates). Gharama ni nafuu!
Tunapatikana Mara Cultural Centre (MCC) au kwa simu namba 0767 989275 na 0717 989 275
Karibuni nyote!