FeedTan CMG

FeedTan CMG A family of friends growing together! Registered Community Microfinance Group
Let's Grow Together.

Neema na Huruma za Mungu zituangaze kwa mwaka 2026.Heri kwenu nyote wana FeedTan wapendwa sana. Mkafanikiwe na kukua san...
01/01/2026

Neema na Huruma za Mungu zituangaze kwa mwaka 2026.

Heri kwenu nyote wana FeedTan wapendwa sana. Mkafanikiwe na kukua sana kwa kila lililo jema na la kumpendeza Mungu.

Merry Christmas πŸŽ„βœ¨Krismasi njema iliyojaa amani, upendo na furaha. Baraka nyingi katika msimu huu wa sikukuu na heri ya ...
26/12/2025

Merry Christmas πŸŽ„βœ¨
Krismasi njema iliyojaa amani, upendo na furaha.

Baraka nyingi katika msimu huu wa sikukuu na heri ya mwaka mpya ujao. πŸŽπŸ™

Lets Grow Together.
12/11/2025

Lets Grow Together.

Lets Grow Together🌱🌱🌱🌱🌱🌱
15/10/2025

Lets Grow Together🌱🌱🌱🌱🌱🌱

FeedTan inaendelea kuongeza ushirikiano na vikundi vingine.Pichani ni Katibu, Dr. Emmanuel Elioth Lulandala, pamoja na A...
18/09/2025

FeedTan inaendelea kuongeza ushirikiano na vikundi vingine.

Pichani ni Katibu, Dr. Emmanuel Elioth Lulandala, pamoja na Afisa Tehama, Mr. David Ngungila, wakitoa uzoefu wa FeedTan wa Miaka 10 ili kusaidia wana kikundi kutoka CCP kuanza safari yao na kuwa imara.

FeedTan ipo tayari kushirikiana na vikundi vingine katika safari hii ya kutafuta uhuru wa kifedha.
Let’s Grow Together! 🌱

πŸŽ‰ Celebrating 10 Years of Excellence and Members Impact! πŸŽ‰
08/09/2025

πŸŽ‰ Celebrating 10 Years of Excellence and Members Impact! πŸŽ‰

25/08/2025

FeedTan inabadili maisha yetu! Leo Tunasherekea mafanikio yetu!

πŸ”₯πŸ™ŒπŸ”₯

25/08/2025

"Feedtan imenisaidia kuanza maisha baada ya kumaliza chuo"
Feedtan imekufanyia nini? πŸ”₯

Let's Grow Together

25/08/2025

UNASTAHILI FARAJA. FeedTan siku zote itakuwa nawe. #10 YearsAnniversary. Let's celebrate together πŸ™ŒπŸ₯³πŸ”₯

25/08/2025

10 Years Anniversary πŸ”₯πŸ™ŒπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ₯³πŸ₯³πŸ₯³πŸ₯³

19/08/2025

Address

P. O. Box 474, Sokoine Road
Moshi
25103

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when FeedTan CMG posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share