Ng'ambo Saccos Ltd

Ng'ambo Saccos Ltd Umoja Wetu Ndio Nguvu Yetu

 : Jana tarehe 25/02/2026 Watendaji wa chama cha Ng'ambo Saccos Ltd wamepata Seminar ya udhibiti ya dhamana za vyombo vy...
26/02/2026

: Jana tarehe 25/02/2026 Watendaji wa chama cha Ng'ambo Saccos Ltd wamepata Seminar ya udhibiti ya dhamana za vyombo vya moto na matumizi ya mfumo mpya wa IDRAS kutoka Maafisa Mahusiano kutoka TRA Kilimanjaro.

Semina hii muhimu imehudhuriwa pia na Manager wa chama na mjumbe wa bodi ya chama cha Ng'ambo Saccos!

TRA k**a wadau wetu katika kutekeleza majukumu yetu, wamewaasa watendaji kihakikisha dhamana za vyombo vya moto zinazowekwa na wakopaji zinazingatia taratibu zote za kisheria wakati wa dhamana ili kupunguza migogoro katika jamii na kuongeza ufanisi katika utendaji wetu wa kazi.
______________________________________
NG'AMBO SACCOS LTD
๐Ÿค๐Ÿ’ชfederation

Chama cha Ushirika wa akiba na mikopo Ng'ambo Saccos Limited, kinawatakia wanachama waislam wote 'Eid Mubarak' Tusherehe...
31/03/2025

Chama cha Ushirika wa akiba na mikopo Ng'ambo Saccos Limited, kinawatakia wanachama waislam wote 'Eid Mubarak'

Tusherehekee kwa amani na kumtanguliza Allah kwa kila jambo kwa maendeleo yetu na chama chetu!

โ€œNG'AMBO SACCOS LTDโ€

TUNAWATAKIA HERI YA SIKUKUU YA CHRISTMAS KWA WANACHAMA WOTE๐ŸŽ‰
25/12/2024

TUNAWATAKIA HERI YA SIKUKUU YA CHRISTMAS KWA WANACHAMA WOTE๐ŸŽ‰

Tuzo Kwa Wanachama Wawekezaji, Warejeshaji Na Viongozi Bora NGโ€™AMBO SACCOS LTD. ๐Ÿ†๐ŸŽ‰Hongereni Sana.
15/10/2024

Tuzo Kwa Wanachama Wawekezaji, Warejeshaji Na Viongozi Bora NGโ€™AMBO SACCOS LTD. ๐Ÿ†๐ŸŽ‰

Hongereni Sana.








Mwanachama wa Ng'ambo saccos ltd na mliokamilisha hisa zenu kufikia TSH,500,000/=kesho 14.10.2024 ni siku ya jumatatu nd...
13/10/2024

Mwanachama wa Ng'ambo saccos ltd na mliokamilisha hisa zenu kufikia TSH,500,000/=kesho 14.10.2024 ni siku ya jumatatu ndio siku ya ule mkutano wetu mkuu wa kumi wa chama tulikuwa tunasubiri Kwa shauku kubwa,ni mkutano ulioandaliwa vizuri na vitabu vya mkutano mlivipata mapema na hivyo tunatazamia tuchukue muda mfupi Sana wa mkutano na watu wawahi majumbani wakiufurahia uzuri wa chama Chao.Mungu awaandae vyema na karibuni Sana.

KARIBUNI SANA
๐Ÿ’ช







HAPPY INTERNATIONAL WOMEN'S DAY kwa wanawake wote wanachama wa NG'AMBO SACCOS LIMITED๐ŸฅฐTunawatakia mafanikio makubwa ya k...
08/03/2024

HAPPY INTERNATIONAL WOMEN'S DAY kwa wanawake wote wanachama wa NG'AMBO SACCOS LIMITED๐Ÿฅฐ

Tunawatakia mafanikio makubwa ya kiuchumi katika kazi zenu. NG'AMBO SACCOS LIMITED tunaunga mkono kauli mbiu "WEKEZA KWA WANAWAKE; KUHARAKISHA MAENDELEO YA TAIFA NA USTAWI WA JAMII" hivyo tutaendelea kuwaunga mkono kupitia huduma bora tunazozitoa ili kumwinua mwanamke bora katika jamii na kujenga jamii bora pia; kwani tunaamini ukimwinua mwanamke umeiinua jamii nzima.

Baada ya sherehe, karibuni Sasa NG'AMBO SACCOS sasa๐Ÿ˜ tuendelee *kukopa kwa BUSARA, LIPA kwa WAKATI*

01/03/2024
Je Wafahamu NGโ€™AMBO SACCOS LTD Inatoa Mikopo Kwa Vikundi?๐Ÿค”Je Wafahamu Utofauti Wetu Wa Mikopo Ya Vikundi?๐Ÿค”Basi Changamki...
23/02/2024

Je Wafahamu NGโ€™AMBO SACCOS LTD Inatoa Mikopo Kwa Vikundi?๐Ÿค”

Je Wafahamu Utofauti Wetu Wa Mikopo Ya Vikundi?๐Ÿค”

Basi Changamkia Fursa, ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธNjoo Na Rafiki Yako Siku Ya J3 Upate Elimu.

๐Š๐ฎ๐ก๐ฎ๐ฌ๐ฎ ๐€๐ƒ๐€๐Š๐ฎ๐ก๐ฎ๐ฌ๐ฎ ๐๐ˆ๐€๐’๐‡๐€๐‘๐€๐Š๐ฎ๐ก๐ฎ๐ฌ๐ฎ ๐ฆ๐ค๐จ๐ฉ๐จ ๐ฐ๐š ๐€๐Š๐ˆ๐๐€๐Š๐ฎ๐ก๐ฎ๐ฌ๐ฎ ๐ฆ๐ค๐จ๐ฉ๐จ ๐ฐ๐š ๐Š๐ˆ๐‹๐ˆ๐Œ๐Ž๐Š๐ฎ๐ก๐ฎ๐ฌ๐ฎ ๐ฆ๐ค๐จ๐ฉ๐จ ๐ฐ๐š ๐•๐ˆ๐Š๐”๐๐ƒ๐ˆ๐Š๐ฎ๐ก๐ฎ๐ฌ๐ฎ ๐ฆ๐ค๐จ๐ฉ๐จ ๐ฐ๐š ๐•๐ˆ๐…๐€๐€ ๐ง๐š ๐”๐‰๐„๐...
17/01/2024

๐Š๐ฎ๐ก๐ฎ๐ฌ๐ฎ ๐€๐ƒ๐€
๐Š๐ฎ๐ก๐ฎ๐ฌ๐ฎ ๐๐ˆ๐€๐’๐‡๐€๐‘๐€
๐Š๐ฎ๐ก๐ฎ๐ฌ๐ฎ ๐ฆ๐ค๐จ๐ฉ๐จ ๐ฐ๐š ๐€๐Š๐ˆ๐๐€
๐Š๐ฎ๐ก๐ฎ๐ฌ๐ฎ ๐ฆ๐ค๐จ๐ฉ๐จ ๐ฐ๐š ๐Š๐ˆ๐‹๐ˆ๐Œ๐Ž
๐Š๐ฎ๐ก๐ฎ๐ฌ๐ฎ ๐ฆ๐ค๐จ๐ฉ๐จ ๐ฐ๐š ๐•๐ˆ๐Š๐”๐๐ƒ๐ˆ
๐Š๐ฎ๐ก๐ฎ๐ฌ๐ฎ ๐ฆ๐ค๐จ๐ฉ๐จ ๐ฐ๐š ๐•๐ˆ๐…๐€๐€ ๐ง๐š ๐”๐‰๐„๐๐™๐ˆ

2024 Hutakiwi kukwama๐Ÿ‘Œ๐Ÿ˜
๐๐ '๐š๐ฆ๐›๐จ ๐’๐š๐œ๐œ๐จ๐ฌ ๐‹๐ญ๐
#๐‘ผ๐’Ž๐’๐’‹๐’‚๐‘พ๐’†๐’•๐’–๐‘ต๐’…๐’Š๐’๐‘ต๐’ˆ๐’–๐’—๐’–๐’€๐’†๐’•๐’–โœŠ๐Ÿป

Heri Ya Mwaka Mpya 2024 ๐ŸŽ‰
31/12/2023

Heri Ya Mwaka Mpya 2024 ๐ŸŽ‰

Address

P. O BOX 1532
Moshi

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 08:30 - 13:00

Telephone

+255762419447

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ng'ambo Saccos Ltd posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share