15/11/2023
*KARIBU SHINYANGA BUSINESS FORUM| 24-26 NOVEMBER 2023*
------------------------------------------------------
✅Faida yake ni Mijadala Juu ya ufanikishaji na uendeshaji biashara. Njoo upate Dondoo za *OSHA, BRELLA, NEMC, TBS, GPSA, TRA, WIMA, PPRA, TFDA, NSSF, TANEPS.*
✅ Onana Uso kwa Uso na waziri wa Viwanda na Biashara, Waziri wa Uwekezaji, Waziri wa Madini. Pamoja na Usajiri wa Kampuni na udhabuni utafanywa na *BRELA, NEST-PPRA.*
✅Muunganiko na wafanyabiashara wakubwa nchini wamiliki wa Viwanda
✅Utakutana na wachimbaji Madini, Wachenjuaji, wapimaji wa ardhi yenye Madini na wauzaji wa Chemical.
✅ Wakulima wenye Mafanikio Makubwa yenye tija.
*➡️ *KUSHIRIKI* ............................
🔄MEZA 50,000 Kwa Mjasiliamari Mdogo
🔄BANDA 300,000 Kwa Mjasiliamali Mkubwa
🔄 CATEGORY SILVER 500,000
🔄 CATEGORY GOLD 3,000,000
✅Utapata
👉Konekisheni
👉Usuli
👉Kampuni
👉Maarifa
👉Marafiki
*Piga 0759 436 625 na 0767 254 201. Karibu SHINYANGA BUSINESS FORUM. tunazungumza kuhusu biashara.*