Selina na biashara zake

Selina na biashara zake NI MWANAMUZIKI WA INJILI,

NIMEONA SIO VYEMA KUCHANGANYA PAGE YANGU YA MIZIKI NA HII YA BIASHARA .

HIVYO HAPA MASHABIKI WANGU MTAWEZA KUNISUPOTI KWENYE BIASHARA ZANGU MBALI MBALI. NINAFANYA MATANGAZO YA BIASHARA ZA WENGINE PIA - USIONESHAKA ,NIPE KAZI.

18/06/2026

Thank you Arusha and

See you soon MBEYA.

18/06/2026

Umeona Nini ??kwenye hii video ,🤣

17/06/2026

Wangusu Selina MBEGU za vitunguu

16/06/2026
14/06/2026

Nyoka - jamani shambani.

13/06/2026

Jifunze kilimo na biashara ya mazao TOKA kwa kiongozi WETU masanja mkandamizaji .

Tembelea page zake k**a Instagram na Facebook kwa maelezo zaidi .

Next week anaondoka na team ya kurangua mazao ya mpunga kwa ajili ya biashara .

Changamkia fursa

13/06/2026
13/06/2026

Wee kitunguu - upandaji wake sio mchezo.

Tuwaheshimu sana WAkulima , silalamiki .

Just a compliment, Wangusu Selina

13/06/2026

Mwamini mungu kwa Kila jambo , hata Dunia nzima inapokua haikielewi.

Address

Masaki

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Selina na biashara zake posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share