Tuunge mkono jitihada za rais John Pombe Magufuli

Tuunge mkono jitihada za rais John Pombe Magufuli Hongera Dr. MAGUFULI kwa kujitoha mhanga kwaajiri ya walalahoi mimi pamoja na watanzania wenye mapen

Kulingana na kujitoa alikojitoa rais wete Magufuli kwa kupambana na mafisadi na wahuju uchu ni dhahiri kwamba wenge hasa wenye tabia tajwa hapo juu, watataka kukatisha safari hii yaukombozi wakweli.Kwahiyo basi watanzania wenzangu tumwunge mkono rais wetu kwa kuwafichua wale wote ambao wenye mtazamo tofauti na ukombozi wawanyonge.kwakumwombea mtumbua majipu na kutoa taarifa punde uonapo mtu anaomba au kupokea rushwa, kumzungumzia vibaya mpendwa wetu, au kumiliki mali ambazo zina walakini.kwakufanya hayo tutafanikisha kuitengeneza Tanzania yenye maendeleo ya kweli.MUNGU ibariki Tanzania MUNGU m bariki MTUMBUA MAJIPU Amen

Address

Kigogo Mkwajuni
Kariakoo

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tuunge mkono jitihada za rais John Pombe Magufuli posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share