08/05/2026
"Saa ya kwanza ya asubuhi ndiyo inayopanga hatima ya siku yako. Inene BARAKA kwenye anga lako, na viumbe vyote vitakutii!"
Shalom mpendwa! Je, unajua kuwa asubuhi siyo muda wa kukurupuka tu na kuanza kukimbizana na daladala au biashara?
​Saa za mapambazuko ni Malango ya Siku (The Gates of the Day). Kiroho, yeyote anayewahi kufika kwenye lango na kutoa amri, ndiye anayemiliki siku hiyo. Ukiamka bila kunena neno, unaruhusu adui, watu wabaya, na hata viumbe (k**a ndege wagonga madirisha) wapange ratiba ya maisha yako.
​Kila siku ina 'maskio'. Inasubiri usikie utaiambia nini. Ukisema 'leo ni mbaya', itakuwa mbaya. Lakini ukiamka k**a Kuhani na kuamuru baraka, kibali, na ulinzi, hata maadui zako watalazimika kukubariki!
​Je, unataka kujifunza maombi ya kimkakati ya asubuhi ambayo yanavunja kila mtego wa adui kabla hujatoka nje?
​Jiunge na jeshi la Washindi VIP, ambapo tunajifunza siri za kuitawala asubuhi na jinsi ya kuishi kila siku ukiwa upande wa ushindi. Usikubali siku ikuendeshe, iendeshe siku!
​JINSI YA KUJIUNGA:
​Ada: Tsh 10,000 tu kwa mwezi.
​Malipo: Tuma kwa M-Pesa 0741943155 (Jina: Josephu Emmanuel Simoni).
​Mwisho: Ukimaliza kutuma, nitumie ujumbe wa muamala WhatsApp kupitia namba hiyo hiyo +255741943155 ili nikuunganishe sasa hivi.
​Amuru siku yako sasa, na uone maajabu!
​