Kristo Atosha Investment - Mwl. Massawe

Kristo Atosha Investment - Mwl. Massawe Ukurasa huu ni mahususi kwa ajili ya kupeana uzoefu kidogo kuhusu kilimo na ufugaji..

Wakati unapitia post katika page hii utakutana na mahubiri au wakati mwingine maelekezo ya kiroho katika maisha.

10/11/2023
Shalom
17/09/2023

Shalom

Here we Move
01/07/2023

Here we Move

Ufagani na kilimo ni tunu ya ukombozi kwa jamii nyingi za kitanzania..Tunachokosa wengi ni Utaalamu wa kupata mazao bora...
12/07/2022

Ufagani na kilimo ni tunu ya ukombozi kwa jamii nyingi za kitanzania..
Tunachokosa wengi ni Utaalamu wa kupata mazao bora..
Tijitahidi kusoma vitabu na kuwauliza wataalamu waliotuzunguka..
Fuga kwa faida lima kwa faida

Life is all about investment..
02/06/2022

Life is all about investment..

Life goes on!
24/05/2022

Life goes on!

Kuna Nyakati ktk Maisha unaitaji kuchukua maamuzi magumu..Nini maana ya maamuzi magumu?Ni maamuzi ambayo yakifanikiwa un...
28/04/2022

Kuna Nyakati ktk Maisha unaitaji kuchukua maamuzi magumu..
Nini maana ya maamuzi magumu?
Ni maamuzi ambayo yakifanikiwa unavuka ila yasipofanikiwa yanaweza kukufanya utoe chozi la uchungu.

Ok, Ktk nyakati hizi ili uweze kutoboa ni lazima ifike mahali ukubali kubeba na kuchukua maamuzi magumu.

Ukiona mtu anamwaga maji yaliyopo kwenye tank kwa kusubiria mvua ya wingu lililotanda kuna kitu kinaitwa moyo wa tofauti..

Nataka kusema nini?
Maisha hasa ya uwekezaji ni zaidi ya unachokiona na kukifikiri hivyo yatupasa kufikiri zaidi ya hapo unapofikiri..
Kesho bora ni matokeo ya maamuzi bora ya leo

Kilimo ni Sehemu ya maisha yetu..Fanya kilimo na ufungaji uepukane na Maisha duni.
30/03/2022

Kilimo ni Sehemu ya maisha yetu..
Fanya kilimo na ufungaji uepukane na Maisha duni.

15/03/2022
Lets goo...Life is very seriously
05/11/2021

Lets goo...
Life is very seriously

We as Dabaga Sec ni wajibu wetu kuhakikisha kizazi kichajo kinakua na afya bora kwa kuwalusha vizuri sasa hivi n kuwafun...
25/10/2021

We as Dabaga Sec ni wajibu wetu kuhakikisha kizazi kichajo kinakua na afya bora kwa kuwalusha vizuri sasa hivi n kuwafundisha namna bora kwa ajili ya baadae

Address

KIDABAGA/KILOLO
Iringa
2324

Telephone

+255758064586

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kristo Atosha Investment - Mwl. Massawe posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Kristo Atosha Investment - Mwl. Massawe:

Share