Finca Tanzania

Finca Tanzania Ni Benki inayotoa huduma za kifedha katika nchi 16 Duniani Lengo ni kupunguza umasikini na kukuongez umasikini na kukuongez

🌍 FINCA INVESTMENT TANZANIAKatika maisha, kila mtu anatafuta fursa ya kusonga mbele, kuendeleza miradi yake na kujenga m...
18/03/2026

🌍 FINCA INVESTMENT TANZANIA
Katika maisha, kila mtu anatafuta fursa ya kusonga mbele, kuendeleza miradi yake na kujenga maisha yenye utulivu zaidi.
Katika FINCA Investment Tanzania, lengo letu ni kuhamasisha roho ya ujasiriamali na kusaidia wale wanaopenda fursa za uwekezaji pamoja na elimu ya fedha.
💡 Tunaamini mafanikio huanza na: ✔ Nidhamu
✔ Taarifa sahihi
✔ Maamuzi ya busara
✔ Motisha ya kusonga mbele
Timu yetu hushiriki mara kwa mara taarifa muhimu na fursa mbalimbali kwa watu wanaotaka kujifunza zaidi kuhusu dunia ya uwekezaji na usimamizi wa fedha.
📊 Kila mtu yuko huru kuchunguza chaguo mbalimbali zinazotolewa na kuchagua kile kinacholingana na malengo yake binafsi.
✨ Kwa nini utufuate?
• Gundua taarifa muhimu kuhusu uwekezaji
• Pata habari za fursa zinazopatikana
• Ungana na jamii yenye motisha
• Jenga maono imara ya kifedha
🚀 Mafanikio makubwa huanza na uamuzi mmoja: kuchukua hatua na kuamini katika mustakabali wako.
📩 Kwa maelezo zaidi, wasiliana na huduma yetu kupitia WhatsApp.
📍 Dar es Salaam – Tanzania
FINCA Investment Tanzania
Kujenga leo fursa za kesho.

ndoto zako.
17/03/2026

ndoto zako.

Linda mizigo yako, linda biashara yako.Safirisha mzigo wako kwa amani ukijua mali yako iko salama na Bima ya Mizigo kuto...
07/03/2026

Linda mizigo yako, linda biashara yako.

Safirisha mzigo wako kwa amani ukijua mali yako iko salama na Bima ya Mizigo kutoka FINCA.

Mzazi ama mlezi, FINCA inakuwezesha kwa mkopo wa ada bila usumbufu – kurudishwa ada? NO! Tunasimama na elimu ya mtoto wa...
07/03/2026

Mzazi ama mlezi, FINCA inakuwezesha kwa mkopo wa ada bila usumbufu – kurudishwa ada? NO! Tunasimama na elimu ya mtoto wako.

FINCA, tunathamini juhudi zako wewe mteja wetu, hivyo kila unapokuwa unajiwekea akiba yako na akaunti yetu ya muda maalu...
07/03/2026

FINCA, tunathamini juhudi zako wewe mteja wetu, hivyo kila unapokuwa unajiwekea akiba yako na akaunti yetu ya muda maalumu, unajipatia riba nono inayofika hadi asilimia 12. Fungua akaunti ujiwekezee sasa.

Tunathamini sana juhudi zako za kupiga hatua kuelekea kesho bora. Ukiwa na akaunti ya akiba ya Hakika, hautakatwa gharam...
07/03/2026

Tunathamini sana juhudi zako za kupiga hatua kuelekea kesho bora. Ukiwa na akaunti ya akiba ya Hakika, hautakatwa gharama za makato ya pindi utapotoa fedha zako.

Usisite kuanza kujiwekea akiba leo, kwa sababu ya kuwa na kiwango kidogo cha kuanzia. Bali anza kuwekeza leo kwani kesho...
07/03/2026

Usisite kuanza kujiwekea akiba leo, kwa sababu ya kuwa na kiwango kidogo cha kuanzia. Bali anza kuwekeza leo kwani kesho yako unaanza kuijenga sasa.

Ukiwa na akaunti ya akiba ya Hakika, akiba yako haiguswi kabisa kwani haina makato ya kila mwezi. Tembelea tawi letu lil...
07/03/2026

Ukiwa na akaunti ya akiba ya Hakika, akiba yako haiguswi kabisa kwani haina makato ya kila mwezi. Tembelea tawi letu lililo karibu nawe ufungue akaunti yako leo.

FINCA Microfinance Bank ipo kwa ajili yako na mkopo maalum wa kugharamia ada ya shule. Tunakupa suluhisho la haraka, mas...
07/03/2026

FINCA Microfinance Bank ipo kwa ajili yako na mkopo maalum wa kugharamia ada ya shule. Tunakupa suluhisho la haraka, masharti nafuu na huduma rafiki ili kuhakikisha elimu ya watoto wako haiingiliwi na changamoto za kifedha.

Tunatoa mkopo wa ada wenye riba nafuu. Mkopo huu ni kwa wazazi au walezi wenye biashara au ajira ya kudumu. Pia mkopo hu...
07/03/2026

Tunatoa mkopo wa ada wenye riba nafuu. Mkopo huu ni kwa wazazi au walezi wenye biashara au ajira ya kudumu. Pia mkopo huu unafaida ya kulipwa moja moja shuleni.

Unauhitaji wa mkopo wa ada ila una maswali na unahitaji majibu? Tuandikie sasa, tupo kukusikiliza na kukuhudumia.
07/03/2026

Unauhitaji wa mkopo wa ada ila una maswali na unahitaji majibu? Tuandikie sasa, tupo kukusikiliza na kukuhudumia.

Ada isiwe moja ya stress zako wakati sisi tupo. Kwa maswali tupigie kwa namba zetu hapo chini au tembelea tovuti yetu, w...
07/03/2026

Ada isiwe moja ya stress zako wakati sisi tupo. Kwa maswali tupigie kwa namba zetu hapo chini au tembelea tovuti yetu, www.finca.co.tz

Address

Dar Es Salam
Dodoma

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Finca Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share