Berryprince High Classic Vission Company Limited

Berryprince High Classic Vission Company Limited EXPERT IN DEVELOPMENT FINANCE & INVESTMENT PLANNING

08/09/2016

The world as we have created it is a process of our thinking. It cannot be changed without changing our thinking.- 'Good Morning....

Datx hw t z....
17/06/2014

Datx hw t z....

understanding our ways
31/05/2014

understanding our ways

Joomla! - the dynamic portal engine and content management system. 2nd EAC Investment Conference - Investment Opportunities (1/1) - East African Community Investment

24/04/2014

Miching my fwendzzz jmn... # bitchez hit out!

13/04/2014

What is my name?

ma pulz...@ wat waz appenin'....
19/01/2014

ma pulz...@ wat waz appenin'....

CRISTIANO RONALDO

19/01/2014

MOVIE BADO LINAENDELEA NA HII NDIO STORY KAMILI KUHUSU UJAUZITO WA WEMA NA ALIYEMPA MIMBA HIYO..!!!

Diamond ambaye alimtupilia mbali mpenzi wake Penny na kurudiana na Wema mapenzi yao hayakufichika kwani wakiwa China walipiga picha za mahaba na kuziweka kwenye mitandao ya kijamii na kuzua hisia tofauti.

Hivi karibuni wamekuwa karibu sana kimapenzi na kuamua kuonesha siri zao za ndani bila kuficha, “mwenye macho haambiwi ona… juzi tu wameweka video zao wakiwa kitandani kila mtu ameziona, lakni pia Diamond kumnunulia nyumba baada ya kusikia mkataba wake umeisha na kwamba hautoongezwa, na mambo mengine kibao” kiliongeza chanzo hicho

“lakini tusubiri miezi tisa tu sio mingi na mimba huwahaifichiki bana tutaona.MSANII maarufu wa Bongo Movie, mrembo na mwenye pesa pengine kuwazidi wengi na ambaye hivi karibuni amezua mijadala mikubwa baada ya kurudiana na mpenzi wake wa zamani Diamond, ambaye pia ni maarufu katika muziki wa kizazi kipya nchini na mwenye kuongoza kwa mapato nchini, imegundulika kuwa ana ujauzito wa miezi kadhaa.

Wema ambaye alishindwa kuficha hisia zake na hatimae kuweka kuandika kwenye mtandao wa kijamii wa instagram,” …mmmmmh jamani hichi kitumbo… hakifichiki now…” kuashiria kuwa mabadiliko ya mwili yameshaanza kuonekana (Picha chini inaonesha ujumbe huo kamili

Mtandao wa huu ulianza kuhisi taarifa hizo na kuamua kuzifuatilia kwa karibu ili kujua nini haswa kinaendelea au ni hisia tu. Ndipo mwandishi alipochukua jukumu la kumtafuta mlimbwende huyo Wema Sepetu na kugonga mwamba.

Hata hivyo jitihada hizo hazikuishia hapo ndipo kilipopatikana chanzo cha karibu na Wema na kudai kuwa “ amekuwa akilalamika mabadiliko hayo na hata kusikika akisema anaihisi ameconsive…” kilisema chanzo hicho bila kutaka kutambulika hadharani.
“Ni kweli itakuwa hivyo na ndio maana Diamond aliamua kumtangaza rasmi siku hile ya chrismas” aliongeza.

jux from &%berryprince%&
enjoy da mkaxa....>< caz nliwapa xhot bul ndo full xaaxa...

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Share story hii na washikaji
Facebook
Twitter
Google+

19/01/2014

Address

Dodoma

Telephone

+255759527644

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Berryprince High Classic Vission Company Limited posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Berryprince High Classic Vission Company Limited:

Share