Mo kopa kwa simu

Mo kopa kwa simu Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mo kopa kwa simu, Loan service, Dodoma.

πŠπ€π‘πˆππ” 𝐌𝐎 π…πŽπ”ππƒπ€π“πˆπŽπ π™πŽπ„π™πˆ 𝐋𝐀 π”π“πŽπ€π‰πˆ 𝐖𝐀 𝐌𝐊𝐎𝐏𝐎 πŽππ‹πˆππ„ ππ€πƒπŽ π‹πˆππ€π„ππƒπ„π‹π„π€       π‡π”πƒπ”πŒπ€ 𝐍𝐈 π‡π€π‘π€πŠπ€ π™π€πˆπƒπˆ.  *MO DEWJI MKOPO* ni...
15/07/2025

πŠπ€π‘πˆππ” 𝐌𝐎 π…πŽπ”ππƒπ€π“πˆπŽπ π™πŽπ„π™πˆ 𝐋𝐀 π”π“πŽπ€π‰πˆ 𝐖𝐀 𝐌𝐊𝐎𝐏𝐎 πŽππ‹πˆππ„ ππ€πƒπŽ π‹πˆππ€π„ππƒπ„π‹π„π€

π‡π”πƒπ”πŒπ€ 𝐍𝐈 π‡π€π‘π€πŠπ€ π™π€πˆπƒπˆ.
*MO DEWJI MKOPO* ni kampuni ya utoaji mikopo inayolenga kusaidia wafanyabiashara,wajasiliamali wakubwa na wadogo pia inatoa mikopo kwa waajiriwa wa serikali na kampuni binafsi Nchi nzima na kwa mtanzania yoyote mwenye vigezo vya kupata mkopo.

Note πŸ“
1 : *MO DEWJI MKOPO* tunatoa mkopo wa kiasi cha Tsh. 200,000 (Laki mbili) Hadi Tsh 50,000,000(Milioni hamsini) kwa mtu yoyote alie na vigezo na mwenye kuhitaji mkopo.

2 : mkopo hutolewa kwa njia ya maombi ya mtandaoni kupitia simu na pesa za kielektroniki huwekwa kwenye pochi ya waombaji k**a vile tigo-pesa, m-Pesa, airtel-money, halo-pesa au akaunti za kibenki.

VIGEZO & MASHARTI

NoteπŸ“
(A): Unatakiwa kuwa mtanzania(Bara & Visiwani) mwenye umri kuanzia miaka 18+

(B): Unatakiwa kuwa na Picha yako yenye kukuonesha vyema

(C): Unatakiwa kuwa na Picha ya kitambulisho chako na k**a hauna picha ya kitambulisho hakikisha unayo namba yako ya NIDA.

VITAMBULISHO VINAVYORUHUSIWA NI:-
01.NAMBA YA NIDA au KITAMBULISHO CHENYEWE (KITAMBULISHO CHA TAIFA)
02.MPIGA KURA
03.LESENI YA UDEREVA
04.LESENI YA BIASHARA
05.TIN NAMBA
06.KITAMBULISHO CHA MZANZBAR NA PASPOTI YA KUSAFILIA

(D): Unatakiwa kujaza fomu ya mkopo kwa kuzingatia usahihi wa taarifa zako ndipo uweze kupata mkopo,kutokana kwamba SLOGAN YETU NI Hivyo vigezo vya mikopo yetu ni Sawa kwa watu wa aina zote bila kubagua kazi au biashara ili mradi uwe umekidhi vigezo vyetu

*(E): Baada ya kujaza fomu kuna malipo ya akiba, Malipo ya akiba hufanyika baada ya kujaza fomu yako, Utaratibu wetu ni lazima Ujaze Fomu kisha Kulipia malipo ya akiba ndipo uweze kupata mkopo.

*TAFADHARI ANDAA AKIBA YAKO KABLA YA KUOMBA UTARATIBU WA MKOPO HUU*

*VIWANGO VYA AKIBA KWENYE KILA MKOPO NA REJESHO LA MKOPO KWA MWEZI*

*1*=>>: Mkopo wa laki mbili 200,000 Akiba yake ni *25,000/=* Marejesho yake ni Tshs 50,000 kwa kila mwezi kwa muda wa miezi 4

*2*=>>: Mkopo wa laki tatu Tsh 300,000/=, Akiba yake ni Tsh *35,000/=* na Marejesho yake hufanyika kwa muda wa miezi 5 kila mwezi Tsh 60,000/=

*3*=>> : Mkopo wa laki nne Tsh 400,000/=, Akiba yake ni Tsh *40,000/=* na Marejesho yake hufanyika kwa muda wa miezi 6 kila mwezi Tsh 66,700/=

*4*=>>: Mkopo wa laki tano Tsh 500,000, Akiba yake ni Tsh *50,000/=* na Marejesho yake hufanyika kwa muda wa miezi 7 kila mwezi Tsh 71,500/=

*5*=>>: Mkopo wa laki sita Tsh 600,000/= Akiba yake ni Tsh *60,000/=* na Marejesho yake hufanyika kwa muda wa miezi 8 kila mwezi Tsh 75,000/=

*6*=>>: Mkopo wa laki saba Tsh 700,000/=, Akiba yake ni Tsh *70,000/=* na Marejesho yake hufanyika kwa muda wa miezi 9 kila mwezi Tsh 77,800/=

*7*=>>: Mkopo wa laki nane Tsh 800,000/=, Akiba yake ni Tsh *80,000/=* na Marejesho yake hufanyika kwa muda wa miezi 10 kila mwezi Tsh 80,000/=

*8*=>>: Mkopo wa laki tisa Tsh 900,000/=, Akiba yake ni Tsh *90,000/=* na Marejesho yake hufanyika kwa muda wa miezi 11 kila mwezi Tsh 81,900/=

*9*=>>: Mkopo wa milioni moja Tsh 1,000,000/=, Akiba yake ni Tsh *100,000/=* na Marejesho yake hufanyika kwa muda wa miezi 12 kila mwezi Tsh 83,400/=

*10*=>>: Mkopo wa milioni mbili Tsh 2,000,000/=, Akiba yake ni Tsh *200,000/=* na Marejesho yake hufanyika kwa muda wa miaka 2 kila mwezi ni Tsh 83,400/=

*11*=>>: Mkopo wa milioni tatu Tsh 3,000,000/=, Akiba yake ni Tsh *300,000/=* na Marejesho yake hufanyika kwa muda wa miaka 3 kila mwezi ni Tsh 83,400/=

*12*=>>: Mkopo wa milioni nne Tsh 4,000,000/=, Akiba yake ni Tsh *400,000/=* na Marejesho yake hufanyika kwa muda wa miaka 4 kila mwezi ni Tsh 83,400/=

*13*=>>: Mkopo wa milioni tano Tsh 5,000,000/=, Akiba yake ni Tsh *500,000/=* na Marejesho yake hufanyika kwa muda wa miaka 5 kila mwezi ni 83,400/=

14=>>: Mkopo wa milion 6 Tsh 6,000,000/= Akiba yake Ni Tsh 600,000/= Na marejesho yake hufanyika Kwa Mda WA miaka 6 kila mwezi ni Tsh 83,400

15=>>: Mkopo wa milion saba Tsh 7,000,000/= Akiba yake Ni Tsh 700,000/= Na marejesho yake hufanyika Kwa Mda WA miaka 7 kila mwezi ni Tsh 83,400

16*=>>: Mkopo wa milioni nane Tsh 8,000,000/=, Akiba yake ni Tsh *800,000/=* na Marejesho yake hufanyika kwa muda wa miaka 8 kila mwezi ni 83,400/=

17*=>>: Mkopo wa milioni tisa Tsh 9,000,000/=, Akiba yake ni Tsh *900,000/=* na Marejesho yake hufanyika kwa muda wa miaka 9 kila mwezi ni 83,400/=

18*=>>: Mkopo wa milioni kumi Tsh 10,000,000/=, Akiba yake ni Tsh *1,000,000/=* na marejesho yake hufanyika Kwa muda wa MIAKA 10 kila mwezi ni 83,400/=

*Akiba yako ndiyo dhamana ya kujiunga na mkopo wako pia ndiyo riba ya mkopo wako hivyo utarejesha mkopo kamili bila ongezeko lolote*

Address

Dodoma

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mo kopa kwa simu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category