01/06/2020
AJIRA AJIRA AJIRA
N&M PEKEE INVESTMENT inatafuta Fundi au Vijana wa Miaka 20-30 kwa ajiri ya kutengeneza Mikanda ya Gypsum Kuna nafasi 2 moja Kiume moja K**e.
Maharti:
Awe mkazi wa Dodoma tu au K**a Mkoani basi awe na Ndugu Dodoma kazi ni kufanya na kulala kwako.
Kituo Cha Kazi:
Dodoma Chang'ombe Extantion.
Mawasiliano:
0713500022.
Barua zitumwe kwa Address ya N&M PEKEEE INVESTMENT
S.L.P 2141 DODOMA Au
Email; [email protected]
Viambatanishi:
Barua ya Utambulisho kwa Mtendaji
Barua ya Wadhamini au Mdhamini.
Maombi mwisho tarehe 10/06/2020