Dodoma Kwanza 2015

Dodoma Kwanza 2015 THE CAPITAL TZ Media Group
Official Website | Online Radio | Online TV

VIDEO iko Hapa Mtu Wangu ....
02/01/2018

VIDEO iko Hapa Mtu Wangu ....

Mwanamuziki Nguza Vicking “Babu Seya” na wanae Johnson Nguza “Papii Kocha”, Francis Nguza na Michael Nguza walipofika Ikulu jijini Dar Leo Januari 2, 2018 kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli kwa msamaha wake aliotoa kwao dhadi ya kifungo cha maisha wal...

PAKUA HAPA - FREE
02/01/2018

PAKUA HAPA - FREE

Burudani AUDIO | Angel Benard – Jana Leo | Download (Gospel) By admin on December 25, 2017 Share Tweet Share Share 0 comments Related Items Share Tweet Share Share 0 comments ← Previous Story Lil Wayne kupiga show tuzo za Ngono Next Story → Will Smith apata pigo, filamu yake yapondwa About adm...

01/10/2017

  SELECTED APPLICANTS FOR ADMISSION INTO NON -DEGREE PROGRAMMES (2017-2018) The following applicants have been selected for admission into Non-Degree programmes at the University of Dodoma (UDOM) for 2017/2018 academic year. All selected applicants are advised to observe the following: Download admi...

07/09/2017

George Simbachawene amevuliwa uwaziri wa TAMISEMI na Rais John Pombe Magufuli baada ya kutajwa kwenye k**ati ya bunge iliyokuwa ikichunguza sekta ya madini ya Tanzanite na almasi. Rais Magufuli amewataka viongozi mbalimbali wa serikali ambao wametajwa kwenye ripoti za bunge ya madini ya Almasi na Ta...

07/09/2017

Wakipanga bei.   DAR ES SALAAM: Kabaaang! Changudoa mmoja wa Kizungu raia wa Uholanzi aliyefahamika kwa jina moja la Monica ametikisa Jiji la Dar kwa kuwa gumzo na wateja wengi kumgombea, Risasi Mchanganyiko lina ‘full’ stori.   SNICHI AVUJISHA ISHU Baada ya kutonywa, Kitengo Maalum cha Operesheni F...

06/09/2017

Classic Voice – seduce Me (Cover) (Music) || Download/Listen

06/09/2017

Mfanyabiashara Yusuf Manji amepoteza sifa ya kuwa Diwani wa Kata ya Mbagala Kuu kutokana na kutohudhuria vikao zaidi ya sita na vikao vya k**ati vya maendeleo ya halmashauri ya Temeke zaidi ya vitatu.Meya wa Manispaa ya Temeke, Abdallah Chaurembo amesema hayo leo Jumatano katika mkutano na waandishi...

19/08/2017

Wakazi  Mkoani Dodoma wametakiwa kuchukua tahadhari dhidi ya kundi la matapeli lililoibuka na kujitambulisha kwa kutumia simu za mkononi kuwa ni watumishi wa manispaa ya Dodoma huku wakiwatapeli wananchi fedha kwa madai kuwa wanatakiwa kulipia kodi za viwanja na majengo kwa njia ya simu. Taarifa ili...

19/08/2017

Msanii wa muziki kutoka Dodoma Tanzania ametangaza kuja na ujio wa nyimbo mpya ambayo bado hajaweka wazi kuwa wimbo huo unahusu nini na ni nani mtayarishaji mkuu. Ikumbukwe Ainea ambaye aliwahi kutamba na kibao k**a sina mpango nae mara ya mwisho kuachia wimbo ilikuwa ni mwishoni mwa mwaka jana na a...

13/08/2017

Baada ya kusubiriwa kwa hamu video ya Mapenzi Sio Vita aliyoimba msanii anayekuja kwa kasi miondoko ya R&B Makunga Wa Leo sasa imeachiwa rasmi. Audio ilitengenezwa studio za Kwanza Records chini ya mtayarishaji Vent Skills. Akipiga story na Capitaltzblog.com msanii huyo alisema “Yotham Lyobha ndio d...

22/07/2017

CALL FOR APPLICATIONS FOR ADMISSION INTO UNDERGRADUATE PROGRAMMES 2017/2018 THE UNIVERSITY OF DODOMA CALL FOR APPLICATIONS FOR ADMISSION INTO DEGREE AND NON DEGREE PROGRAMMES FOR THE ACADEMIC YEAR 2017/2018 The University of Dodoma (UDOM) invites applications from suitably qualified candidates for a...

Address

Dodoma
255

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dodoma Kwanza 2015 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share