Bancabc

Bancabc Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Bancabc, Loan service, Mtendeni Street, Dodoma.

Huu ni ukurasa wetu mahususi kwa ajili uhabarishaji Umma juu ya huduma yetu adhimu ya Mkopo Rahisi kwa ajili ya watumishi wa Umma.Sasa kupitia ukurasa huu Wewe mtumishi wa Umma utajifunza mengi kuhusu huduma ya Mkopo Rahisi kutoka BancABC. Pata mkopo kuanzia laki 5 hadi milioni 40.Pata mkopo wa kuanzia miezi 6 hadi miezi 96 kwa riba nafuu zaidi kutoka BancABC.Fanya top up hata k**a ulikopa mwezi uliyopita.

MKOPO RAHISI HUU HAPA
30/06/2021

MKOPO RAHISI HUU HAPA

Habari kubwa mjini hivi sasa ni MKOPO RAHISI kutoka BancABC.Pata mkopo hadi milioni 40 ndani ya masaa 48 tu tena kwa rib...
10/06/2021

Habari kubwa mjini hivi sasa ni MKOPO RAHISI kutoka BancABC.Pata mkopo hadi milioni 40 ndani ya masaa 48 tu tena kwa riba nafuu mno.Uza deni lako kutoka mabenki na taasisi nyingine za mikopo.Tembelea matawi yetu na vituo vyetu vya huduma kupata huduma hii.
Au wasiliana nasi kupitia +255625887699.

Je,wewe ni Mtumishi wa Umma?Je,una mipango na malengo uliyopanga kutimiza mwaka huu??.Basi chagua Mkopo Rahisi kutoka Ba...
07/06/2021

Je,wewe ni Mtumishi wa Umma?
Je,una mipango na malengo uliyopanga kutimiza mwaka huu??.
Basi chagua Mkopo Rahisi kutoka BancABC kumaliza hitaji lako.Pata mkopo kuanzia laki 5 hadi milioni 40 ndani ya masaa 48 tu.
Ni rahisi kwelikweli,nafuu na haraka.Tembelea tawi lolote la BancABC au vituo vya huduma vilivyo karibu nawe kupata huduma.
Au tupigie +255625887699.

TANGAZO LA KAZI.BancABC katika kuhakikisha huduma  yet ya Mkopo Rahisi inawafikia watu wengi zaidi;inapenda kuwatabgazia...
07/06/2021

TANGAZO LA KAZI.
BancABC katika kuhakikisha huduma yet ya Mkopo Rahisi inawafikia watu wengi zaidi;inapenda kuwatabgazia Watu wote mikoa ya Mwanza na Simiyu kwamba inatoa nafasi za kazi.Angalizo hakikisha uwe mkazi wa mikoa hiyo tajwa.Maombi yote tatumwe kupitia tovuti yetu iliyopo kwenye kipeperushi hiki.Au tembelea matawi yetu BancABC yaliyopo mikoni humo.
Au piga:+255 625887699.
Kutuma maombi Ni bure epuka matapeli.

Huduma yetu ya Mkopo Rahisi inazidi kushika kasi.Tunakuhamasisha ewe Mtanzania changamkia fursa hii ili kutimiza ndoto z...
07/06/2021

Huduma yetu ya Mkopo Rahisi inazidi kushika kasi.Tunakuhamasisha ewe Mtanzania changamkia fursa hii ili kutimiza ndoto zako.
Mkopo wetu ni rahisi,nafuu,haraka na wa kuaminika.Tembelea matawi yetu nchini kote kujipatia huduma au piga +255 625887699 kwa maelezo zaidi.

Hello Tegeta BancABC tumekufikia.Sasa unaweza kupata huduma zetu ukiwa Tegeta,Bunju na viunga jirani.Tembelea hapo kupat...
07/06/2021

Hello Tegeta BancABC tumekufikia.
Sasa unaweza kupata huduma zetu ukiwa Tegeta,Bunju na viunga jirani.
Tembelea hapo kupata huduma au tupigie simu:+255 625887699

07/05/2021

Huduma yetu ya mkopo rahisi bado inaendelea.Fanya top up ya mkopo wako Sasa bila shida yoyote.Mikopo kwa wateja wapya inaendelea K**a kawaida.Uza deni lako kutoka benki nyingine au taasisi yoyote ya mkopo tutanunua deni lako na kukukomboa kutoka kwenye mikopo yenye riba kubwa kuja BancABC yenye riba nafuu na masharti mapesi kuyatekekeza.BancABC huduma bora,mkopo bora kwa maisha na maendeleo yaliyo bora kwako mteja.
Tembelea tawi letu lililo karibu nawe au tupigie simu:+255 625887699

13/02/2021

Kamilisha mipango na malengo siku hii ya Wapendao huku ukifurahia mkopo rahisi,nafuu,haraka na salama kutoka BancABC.
Tembelea tawi lolote la BancABC lililo karibu nawe kwa maelezo na huduma zaidi.
Au piga +255625887699

Je,wewe ni mtumishi wa Umma na bado unahangaika na mkopo kwa ajili yako?.Je,una deni la muda mrefu kutoka benki ama taas...
01/10/2020

Je,wewe ni mtumishi wa Umma na bado unahangaika na mkopo kwa ajili yako?.Je,una deni la muda mrefu kutoka benki ama taasisi yoyote kifedha linakusumbua??.Je,umeomba mkopo kwenye mabenki ama taasisi nyinge lakini umenyimwa kisa wewe ni mwajiriwa mpya????.
USIJALI!;BancABC ndiyo kimbilio lako.Pata mkopo hadi milioni 40 kwa riba nafuu kabisa,Chukua mkopo hadi wa miezi 96 huku ukinufaika na nafasi ya kufanya Top up kila unapopatwa na uhitaji wa kifedha.Pia uza deni lako kwa riba mteremkooo kabisa!!!?
Tembelea matawi yetu popote nchini ama piga +255 625887699 kwa maelezo zaidi.

UMUHIMU WA BIMA KWENYE MKOPO RAHISI KUTOKA BancABC:-Bima humgharamia mteja gharama zote za uchakataji mkopo na hivyo huf...
27/09/2020

UMUHIMU WA BIMA KWENYE MKOPO RAHISI KUTOKA BancABC:-
Bima humgharamia mteja gharama zote za uchakataji mkopo na hivyo hufanya mteja apate kiasi kilekile alichokopa bila kukatwa kiasi chochote cha pesa aliyokopa BancABC.Bima humpa mteja uhuru wa kufuta/kusitisha mkopo wake muda wowote akiamua yeye mwenyewe mteja.Bima hufanya mteja asitishiwe ama afutiwe mkopo(deni)pale inapotokea ameacha au kufukuzwa kazi ama amepatwa na madhira ya kifo.Na hii ni ili kuwaondolea usumbufu ndugu,jamaa,marafiki ama familia ya marehemu kuhusu deni lake alilokopa BancABC. Pia Bima ndiyo inayofanya mwajiriwa mpya apate fursa ya kupata mkopo BancABC bila kujali mtumishi(mteja) huyo ana muda gani kazini tangu kuajiriwa kwake.Pia Bima ndiyo inayofanya mteja(mtumishi)apate mkopo BancABC bila kujali ana akaunti kwetu ama la!!.
Hivyo ndugu mteja unapoamua kukopa basi usisite kuichagua huduma ya Mkopo Rahisi kutoka BancABC.

Mkopo Mkopo Mkopo.Mkopo haupo ili kukwamisha mambo katika maisha;bali mkopo upo ili kutimiliza baadhi ya mambo yaliyokwa...
27/09/2020

Mkopo Mkopo Mkopo.
Mkopo haupo ili kukwamisha mambo katika maisha;bali mkopo upo ili kutimiliza baadhi ya mambo yaliyokwama ama kuyahuisha.Mkopo ni sehemu ya njia za utatuzi wa baadhi ya changamoto na ni fursa katika maisha kwake yule anayekopa na kulenga kujikwamua ama kukuza kipato chake na kujiletea maendeleo.
BancABC kwa kutambua hilo ndiyo maana ikakuletea huduma hii adhimu ya Mkopo rahisi.Mkopo ambao hauna masharti mengi na magumu ili kuupata.Mkopo huu ni mahususi kwa ajili ya Watumishi wa Umma na hata yule aliyeajiriwa mwezi uliyopita anayo fursa kupata mkopo huu.Huu ni mkopo unaokupa hadi milioni 40 na unarejesha kwa miezi 6 hadi miezi 96.Tena ni mkopo wenye Bima inayokubeba mteja katika mambo mengi uwapo ndani ya mkopo.Hujachelewa tembelea matawi yetu mikoani kote ama ofisi zetu za huduma ya mkopo rahisi zilizopo karibu nawe wilaya zote nchini au piga +255625887699 kupata maelezo zaidi

Kilimanjaro tumekufikia.Sasa unaweza kupata huduma za Kibenki sambamba na huduma ya mkopo rahisi kutoka BancABC.Mkazi wa...
27/09/2020

Kilimanjaro tumekufikia.
Sasa unaweza kupata huduma za Kibenki sambamba na huduma ya mkopo rahisi kutoka BancABC.
Mkazi wa Moshi fika tawi letu liliko Moshi mjini pale Kilimani Plaza mkabala na Mawenzi Hospital kupata huduma.
Au piga +255625887699

Address

Mtendeni Street
Dodoma
1126

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Telephone

+255625887699

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bancabc posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category