01/02/2016
Habari za leo mpenzi wa dalali kazini.
Kiwanja kinauzwa,kiwanja kinauzwa.
Ni kiwanja kinachofaa kwa makazi/biashara kwani kinaangalia barabarani .
Maeneo ni Temeke chang'ombe,barabara inayotokea usalama kwenda Sokota.
Eneo lina nyumba ya zamani ya vyumba sita na mabanda ya uani sita.
Ukubwa ni futi 57 kwa 92.
Bei ni millioni 550.
Mawasiliano 0784670782/0673670783