SAVA-Tech Financial Services Limited

SAVA-Tech Financial Services Limited SAVA-Tech Financial Services Limited ni taasisi ya kifedha nchini Tanzania inayolenga kukuza ukuaji wa kifedha kupitia ukopeshaji wa kidijitali.

Inatoa mikopo ya haraka na ufumbuzi wa kifedha kwa wateja na biashara ndogo ndogo kupitia SAVA Loan App.

31/07/2026

Maisha yanafurahisha zaidi unapokuwa na suluhisho la kifedha mkononi. Iwe ni kuongeza mtaji wa biashara, kulipia mahitaji muhimu, au kutimiza ndoto zako, Sava Loan ipo kukusaidia kwa haraka na kwa urahisi.

βœ… Omba mkopo kwa urahisi kupitia App
βœ… Mchakato wa haraka na rahisi
βœ… Salama na wa kuaminika
βœ… Pata fedha unapozihitaji zaidi

Usikubali changamoto za kifedha zikupunguzie tabasamu. Ukiwa na Sava Loan, shangwe halipoi! πŸ˜„

πŸ“² Pakua Sava Loan App leo na anza safari yako ya mafanikio.

31/07/2026

Maisha huleta changamoto na fursa zinazohitaji fedha kwa wakati. Ndiyo maana Sava Loan ipo kukupa suluhisho la haraka, rahisi na salama.

πŸ’Έ Kopa Chap
⚑ Kopa Fasta
πŸ“² Omba kupitia simu yako
🀝 Huduma ya kuaminika

Usiruhusu ukosefu wa fedha ukuzuie kutimiza malengo yako. Ukiwa na Sava Loan, tunakupa sababu ya kutabasamu kila unapohitaji mkopo.

Sava Loan – Kopa Chap, Kopa Fasta, Tunakupa Tabasamu Unapohitaji Mkopo! 😊

30/07/2026

Je, unahitaji fedha za dharura kwa biashara, ada za shule, matibabu, au kutimiza mahitaji ya kila siku?

Usijipe presha! Sava Loan inakupa njia rahisi ya kuomba mkopo popote ulipo kupitia simu yako.

βœ… Maombi ya haraka
βœ… Mchakato rahisi
βœ… Majibu kwa muda mfupi
βœ… Salama na wa kuaminika

Usiruhusu ukosefu wa fedha ukuzuie kufikia malengo yako.

πŸ“² Sava Loan – Kopa Chap, Kopa Fasta, Kwa Raha Zako!

29/07/2026

Kila siku watu wanatafuta huduma za kifedha. Je, wewe utakuwa sehemu ya suluhisho au mtazamaji?

Kuwa SAVA Loan Ambassador na anza kujenga kipato chako kwa kuwasaidia wengine.

Hatua moja inaweza kubadilisha maisha yako.





27/07/2026

Unazijua Faida za kuwa Sava Ambassador?

Address

Mikocheni Street
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SAVA-Tech Financial Services Limited posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share