ABG Finance

ABG Finance 🔹Welcome to ABG Finance Co.

Ltd
🔹“Nguvu Yetu, Mafanikio Yetu”
🔹Pata Mikopo Nafuu na kwa Urahisi
📞 0748503500/0748503501
Millenium Tower 2, 2nd Floor, Dar es Salaam, Tanzania

Nyuma ya kila ndoto kuna nguvu ya baba.🌟Kupitia upendo, kujitolea na msaada wa kifedha, baba huweka msingi wa mafanikio ...
21/06/2026

Nyuma ya kila ndoto kuna nguvu ya baba.🌟

Kupitia upendo, kujitolea na msaada wa kifedha, baba huweka msingi wa mafanikio ya familia na kuwasaidia watoto wao kufikia ndoto zao.

Katika siku hii ya Baba, ABG Finance tunawapongeza mashujaa hawa wanaojenga kesho bora kwa familia zao.

Heri ya siku ya baba duniani

Kila ushindi huanza na hatua ya kwanza!⚽🥅Je, una ndoto ya kupanua biashara, kujenga nyumba au kutimiza malengo yako ya k...
18/06/2026

Kila ushindi huanza na hatua ya kwanza!⚽🥅

Je, una ndoto ya kupanua biashara, kujenga nyumba au kutimiza malengo yako ya kifedha? ABG Finance ipo tayari kukusaidia kufunga goli la ushindi katika maisha yako.

🏆 Funga goli la ushindi na ABG Finance!
✔️ Mikopo yenye masharti rafiki
✔️ Huduma za haraka na za kuaminika
✔️ Mshirika wako wa mafanikio

📞 Wasiliana nasi: +255 754 354 406
🌐 www.abgfinance.co.tz

🌙✨ Eid Al Adha Mubarak! 🐑🌙ABG Finance inawatakia nyote sikukuu yenye furaha, amani na baraka tele. Katika kipindi hiki c...
27/05/2026

🌙✨ Eid Al Adha Mubarak! 🐑🌙

ABG Finance inawatakia nyote sikukuu yenye furaha, amani na baraka tele.
Katika kipindi hiki cha upendo na kushirikiana, tunaendelea kusimama pamoja na Watanzania kwa huduma za kifedha zenye kuleta matumaini na maendeleo.

25/05/2026

Kukopa isiwe chanzo cha stress! 🛑 Karibu ABG Finance kwa mikopo yenye masharti ya rafiki yasiyo gharimu amani yako. ABG FInance Kimbilio lako la ukweli!
Wasiliana nasi leo kupitia 0754354406 Kupata huduma bora za kifedha.

18/05/2026

Amani ya moyo ndiyo utajiri wa kweli. 🤍
Mzee wetu anasema tangu aijue ABG Finance, dharura hazimpi presha tena.

Mikopo ya haraka, mchakato mfupi, na huduma bora kabisa.

ABG Finance… wanarahisisha maisha ya kila Mtanzania.

Kila taaluma, kila ndoto, kila hatua ya maisha ABG Finance tupo pamoja nawe 🤝Fahari Yetu ni Huduma Bora kwa Wote!Iwe wew...
12/05/2026

Kila taaluma, kila ndoto, kila hatua ya maisha ABG Finance tupo pamoja nawe 🤝

Fahari Yetu ni Huduma Bora kwa Wote!
Iwe wewe ni daktari, mwalimu, mfanyabiashara, askari au mjasiriamali tunakupa suluhisho la kifedha linalokufaa.

10/05/2026

Bibi anakupa pesa kwa siri… unaenda kumpa mama “akuhifadhie”… halafu hazirudi tena 😂

Kweli mama ndiye benki ya kwanza maishani mwetu ❤️

Heri ya Siku ya Mama 💐

07/05/2026

Dharura haiji na taarifa ,Lakini suluhisho lipo tayari!

Kwa matibabu, ada au mahitaji ya ghafla, pata mkopo wa haraka kutoka ABG Finance bila usumbufu.

📞 Piga 0754 354 404 leo upate msaada kwa wakati unaouhitaji zaidi.

Wiki mpya imeanza  na kila mwanzo mpya huleta nafasi mpya za kukua. 🌅Chukua hatua leo kuelekea mafanikio yako ya kifedha...
04/05/2026

Wiki mpya imeanza na kila mwanzo mpya huleta nafasi mpya za kukua. 🌅

Chukua hatua leo kuelekea mafanikio yako ya kifedha. Tupo hapa kukusikiliza, kukushauri na kukusaidia kufikia malengo yako bila presha.

Wasiliana nasi leo uanze safari yako ya mafanikio. 💼✨

Kila kazi ina thamani. Kila mfanyakazi ana mchango mkubwa katika kujenga taifa. Katika kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi D...
01/05/2026

Kila kazi ina thamani. Kila mfanyakazi ana mchango mkubwa katika kujenga taifa.

Katika kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani, ABG Finance tunawapongeza wafanyakazi wote kwa bidii, uaminifu na juhudi zenu za kila siku.

Tunaendelea kuwa bega kwa bega nanyi kwa huduma za kifedha zinazokusaidia kusonga mbele.
Heri ya Siku ya Wafanyakazi Duniani!

Address

Millenium Tower 2, 2nd Floor
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ABG Finance posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share