Mixx Tanzania

Mixx Tanzania Kila muamala unaofanya kwenye Mixx Super App ni bao la ushindi. Zawadi kutoka Hisense na hadi TZS 50,000,000

https://mixx.co.tz

Lipa Kwa Simu, Tuma Pesa, Lipa Bili na upate nafasi ya kushinda safari ya kushuhudia Kombe la dunia LIVE.

28/08/2026

BREAKING NEWS 🚨😂 Wallet iko ICU!

Kabla hujaanza kuifanyia CPR, kumbuka una Bustisha na Nivushe za kukusaidia unapokwama kifedha. 😂💸

MixxNiZaidiYaFedha

“Katoro mmeamua kwenda kidigitali!”🔥Wiki hii, CEO wa Mixx, Miss Angelica Pesha, amefanya ziara ya kimkakati katika Kanda...
27/08/2026

“Katoro mmeamua kwenda kidigitali!”🔥

Wiki hii, CEO wa Mixx, Miss Angelica Pesha, amefanya ziara ya kimkakati katika Kanda ya Ziwa, akitembelea wafanyabiashara na wadau mbalimbali wa biashara.

Miongoni mwa maeneo aliyotembelea ni Katoro, Wilaya ya Geita vijijini, Mkoa wa Geita, ambako alifurahishwa na mwamko wa wafanyabiashara kutumia Lipa Kwa Simu kurahisisha malipo na kuendesha biashara zao kwa ufanisi zaidi.

Mixx Ni Zaidi Ya Pesa.💙💙

26/08/2026

Samaki fresh, malipo fresh! 📲🔥

Kutoka Soko la Samaki Clinic-Mwanza, wafanyabiashara wanatusimulia jinsi Lipa Kwa Simu inavyowarahisishia biashara zao kuanzia kupokea malipo kwa haraka hadi kufanya biashara bila stress ya cash.

💙

26/08/2026

Kukaa pamoja, Kusikilizana, Kupanga kwa pamoja. 🤝🔥

CEO wa Mixx, Angelica Pesha, aliwakutanisha Washirika wa Biashara na Mawakala Wakuu katika Breakfast Meeting iliyofanyika Jumatatu, 24 Agosti, Malaika Resort Hotel, Mwanza.

Mazungumzo yalihusu utendaji wa biashara, mikakati na vipaumbele vya 2026, huku yakilenga kuimarisha ushirikiano na ukuaji wa pamoja.🔥

MixxNIZaidiYaPesa💙

Maulid Kareem 🌙Mixx Tanzania inawatakia Waislamu wote Maulid yenye amani, upendo na baraka tele. Tusherehekee siku hii k...
25/08/2026

Maulid Kareem 🌙

Mixx Tanzania inawatakia Waislamu wote Maulid yenye amani, upendo na baraka tele. Tusherehekee siku hii kwa kueneza wema, mshikamano na upendo kwa wote.

Maulid Kareem

19/08/2026

K**a Manamba, hakuna anayehitaji malipo ya “in Kind”😂

Chukua mkopo wa Nivushe Plus kupitia Mixx Super App, ujisort bila kudhalilishwa na maneno ya watu.

MixxNiZaidiYaPesa💙

Kila picha ina hadithi yake📸Kila moment ina hisia yake, na kila kumbukumbu ina thamani yake. Happy international Photogr...
19/08/2026

Kila picha ina hadithi yake📸

Kila moment ina hisia yake, na kila kumbukumbu ina thamani yake.

Happy international Photography day.

Couple goal ni kuwa na mtu wa kushare naye mipango ya kifedha pamoja na kuMixxiana😊💵Wewe Couple goals zako ni zipi?👀Happ...
18/08/2026

Couple goal ni kuwa na mtu wa kushare naye mipango ya kifedha pamoja na kuMixxiana😊💵

Wewe Couple goals zako ni zipi?👀

Happy Couples Day💙💙

17/08/2026

Address

PSSSF Commercial Complex Sinza, 2929
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mixx Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share