DCB Commercial Bank Tanzania

DCB Commercial Bank Tanzania We provide convenient, excellent and innovative financial services to our esteemed customers.

Sikukuu ya Maulid ni wakati wa kusherehekea upendo, amani na mshik**ano, huku tukikumbushana umuhimu wa kuwa pamoja na f...
25/08/2026

Sikukuu ya Maulid ni wakati wa kusherehekea upendo, amani na mshik**ano, huku tukikumbushana umuhimu wa kuwa pamoja na familia na wapendwa wetu.

Tunawatakia Maulid yenye baraka, furaha na amani tele. 🌙

Weekend hii, usibebe cash nyingi. 😎🏖️Popote unapokwenda, lipia kwa DCB Visa Card — hotel, restaurant, shopping au getawa...
22/08/2026

Weekend hii, usibebe cash nyingi. 😎🏖️
Popote unapokwenda, lipia kwa DCB Visa Card — hotel, restaurant, shopping au getaway.

💳 Lipa popote. Furahia zaidi.
Na hakuna makato ya ziada unapofanya malipo kwa Visa Card yako.

DCB Visa Card — Card yako, uhuru wako.

🛍️ Pendeza bila vikwazo!Ukienda shopping, lipa bure kupitia DCB , Lipa Namba za benki na mitandao yote      Tanzania
15/08/2026

🛍️ Pendeza bila vikwazo!
Ukienda shopping, lipa bure kupitia DCB , Lipa Namba za benki na mitandao yote

Tanzania

Strengthening DCB’s LeadershipDCB Commercial Bank Plc is delighted to welcome Mr. Gilead John Teri as a new member of th...
14/08/2026

Strengthening DCB’s Leadership

DCB Commercial Bank Plc is delighted to welcome Mr. Gilead John Teri as a new member of the Board of Directors.

Mr. Teri brings extensive experience in investment, private sector development, economic policy, international development and institutional transformation, with a distinguished career spanning leading institutions including the World Bank, IFC, European Union and Tanzania Private Sector Foundation (TPSF).

He has also served as Executive Director of the Tanzania Investment Centre (TIC) and as the first Director General of TISEZA, contributing significantly to Tanzania’s investment ecosystem.

His wealth of experience will bring valuable strategic insight as DCB continues to advance its transformation agenda, support MSMEs and drive sustainable growth.

We warmly welcome Mr. Gilead John Teri to the DCB Board and look forward to the journey ahead.

Welcome to DCB, Mr. Teri.

MSMEs Transformation Tanzania

A New Chapter in LeadershipDCB Commercial Bank Plc is pleased to announce the appointment of Dr. Charles Stephen Kimei a...
14/08/2026

A New Chapter in Leadership

DCB Commercial Bank Plc is pleased to announce the appointment of Dr. Charles Stephen Kimei as Chairman of the Board of Directors.

With more than four decades of experience in banking, financial policy, regulation, economic research and corporate governance, Dr. Kimei brings a wealth of leadership and institutional expertise to DCB.

His distinguished career includes senior leadership roles at the Bank of Tanzania and serving as Managing Director & CEO of CRDB Bank PLC, where he played a significant role in the institution’s transformation into a successful and competitive commercial bank.

His extensive experience in strategic leadership, institutional transformation and corporate governance comes at an important stage in DCB’s growth journey.

As we continue to advance our transformation agenda, we look forward to leveraging his experience to strengthen DCB, drive innovation and create sustainable value for our customers, shareholders and stakeholders.

We warmly welcome Dr. Charles Stephen Kimei as Chairman of the DCB Board of Directors.

Welcome to DCB, Dr. Kimei.

Here ya sikukuu ya nane nane
08/08/2026

Here ya sikukuu ya nane nane

30/07/2026

Hebu tuambie kwenye comment?

Hii ni nafasi yako wewe mtumishi wa ummakutimiza malengo yako✅ Mkopo hadi TSh Milioni 300✅ Marejesho hadi Miaka 12✅ Uidh...
28/07/2026

Hii ni nafasi yako wewe mtumishi wa ummakutimiza malengo yako

✅ Mkopo hadi TSh Milioni 300
✅ Marejesho hadi Miaka 12
✅ Uidhinishaji wa haraka
✅ Fedha ndani ya masaa 24 baada ya kukamilisha taratibu

Usisubiri kesho wakati unaweza kuanza leo. Kopa Kibabe na utimize malengo yako

Tembelea https://ess.utumishi.go.tz⁠ kutuma maombi yako, kisha DCB tutahakikisha unapata huduma ya haraka na yenye uhakika.

17/07/2026

Jinsi ya Kushiriki – Hatua kwa Hatua

Ni rahisi sana kushiriki kampeni ya Tuma Bure, Shinda Kila Wiki:

1️⃣ Pakua DCB Pesa Plus App
2️⃣ Fungua akaunti ya DCB popote ulipo.
3️⃣ Fanya miamala bila makato k**a:
• Kutuma pesa
• Kulipa bili
• Kufanya malipo kupitia DCB Lipa
4️⃣ Kila muamala unaofanya unaongeza nafasi yako ya kushinda.

🏆 Washindi hupatikana kila wiki, hivyo kadri unavyofanya miamala, ndivyo unavyoongeza nafasi ya kushinda.

🇹🇿

Address

P. O. BOX 19798
Dar Es Salaam
14101

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when DCB Commercial Bank Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share