kodoba starm3lon

kodoba starm3lon Account management
Signal services
mentorship

28/04/2026
Tujifunze kujitazama k**a miti, na kuwatazama wengine kwa mtazamo huo pia...usikasirikee😁, kaa chini nikueleweshe 🧘Kila ...
25/04/2026

Tujifunze kujitazama k**a miti, na kuwatazama wengine kwa mtazamo huo pia...usikasirikee😁, kaa chini nikueleweshe 🧘

Kila mti una thamani yake...🤔

Kuna mti utakupa kivuli tu bila matunda,
mwingine utakupa matunda bila kivuli,
mwingine maua mazuri bila kivuli wala matunda,
na kuna ule adimu unaokupa vyote kwa pamoja.

Vivyo hivyo na watu, kila mmoja ana mchango wake, kwa namna yake..

Usimlaumu mti kwa kutokupa matunda ikiwa asili yake ni kivuli tu.

Usitarajie maua kwa ule ulioumbwa kutoa matunda pekee.

Kila mmoja ameumbwa na nafasi yake: punguza lawama, ongeza uelewa..✍️✍️

Pia tambua kuwa, kuna misimu maishani.📈📈
Kuna kipindi cha kiangazi ambapo miti hunyauka na kupukutisha majani yake; hiki ni k**a nyakati ngumu, kushuka kiuchumi au kupitia changamoto za maisha.

Na kuna kipindi cha masika ambapo miti huchanua, hustawi na kuwa yenye uzuri wa kuvutia; hiki ni k**a nyakati nzuri ambapo mambo huenda sawa na kila kitu huonekana kujaa baraka.

Kumbuka pia, si kila mti ni salama😁😁, Kuna miti yenye sumu, na mingine ni dawa, Kuna inayovutia wadudu au hata wanyama wakali; hivyo chagua kwa umakini unachokikaribia.✍️✍️

Na mwisho, miti ikiwa mingi sana bila mpangilio, huweza kuunda kichaka kinachoficha hatari.

Ndivyo ilivyo pia kwa ushauri mwingi usiochujwa, unaweza kukupoteza badala ya kukuongoza.✍️

Chagua kwa hekima, elewa kwa kina, na ishi kwa utulivu.🪢

I'll fight for people who love me, but I will never fight for people to love me.
23/04/2026

I'll fight for people who love me, but I will never fight for people to love me.

education.
07/04/2026

education.

A friendship that is founded on a business is better than a business that is founded on friendship. Does this make sense...
04/04/2026

A friendship that is founded on a business is better than a business that is founded on friendship. Does this make sense?

Somebody sent me a direct message on instagram and this is what they asked me ..."The question was Kudra what is the mos...
31/03/2026

Somebody sent me a direct message on instagram and this is what they asked me ...

"The question was Kudra what is the most important thing in life??"

Do you know what my answer was??. And i'm convinced that this is the most important thing in life.

So this question was posed to me and i have always known the answer to this question, the most important thing in life for a human being is WISDOM.

Once you take care of wisdom everything else takes care of itself

Now wisdom is a littlebit different to knowledge, wisdom is not information but wisdom is understanding, really understanding what is being said

When we really understand something, we create the results, when we only have the knowledge we know it intellectually but we don't have the results

For example; everybody knows how to become healthy, we have the knowledge but now many people have the results or optimum health???

Everybody knows how to become rich; save, invest ....but how many people are rich??!

So we know it but we don't understand it fe🪢

Kuna watu ambao hata ufanyaje kwenye maisha yako kuna wakati tu utawahitaji, ni suala la muda tu , na inategemea ni kitu...
30/03/2026

Kuna watu ambao hata ufanyaje kwenye maisha yako kuna wakati tu utawahitaji, ni suala la muda tu , na inategemea ni kitu gani unapitia; leo nitakukumbusha watano

1:- Mtu ambae akinyanyua simu yake moja tu unajua k**a una ishu yako tayari imeshaisha, huyu anaweza kua mtu mwenye ushawishi mkubwa kulingana na nafasi yake au anaweza kua mtu mwenye network kubwa , ana connection kila sehemu .

Ana connection hospital , ana connection polisi ana namba za madalali wa kila kitu , ana mtu kwenye kila ofisi unayoifikiria na hata k**a kuna sehemu hana mtu basi anaweza kumpata mtu ambae anaweza kumuunganisha na mtu mwenye mtu sehemu nyengine.
Najua nikisema hivi kuna mtu anakujia kichwan , k**a huna mtu wa namna hii jaribu kumtafuta.😁

2:-Mtu anaekua tayari kukusikiliza muda wowote na kwa ishu yoyote unayoiongelea , hata k**a anajua unachokisema hakiwezi kukusaidia kwa namna yoyote au hakiwezi kuleta matokeo chanya

Huyu ni mtu ambae tunamuhitaji sana tukiwa tunapitia mambo magumu , kuna vipindi ambavyo huwa tunavipitia na mtu tunaemuhitaji ni yule anayetusikiliza chochote tunachoongea hatutaki ushauri wowote kwa muda huo

3:-Mtu mwengine ni yule ambae utakua tayari kumsikiliza na kufuata mwongozo wake hata k**a kile anachokwambia na kukuelekeza kwa wakati huo kinakua kigumu.

Mara nyingi hawa ni watu ambao wameshatutangulia kimaisha , wameshapiga baadhi ya hatua ambazo sisi tunatamani tuzipige , watu ambao wameshapitia magumu ambayo tunayapitia sasahivi na tunaamini k**a wenyewe walivuka nasisi tunaweza tukavuka k**a wakituelekeza walichokifanya hili ndio eneo unalohitaji kua na MENTOR

4:- ni mshikaji tu wa kuongea nae, ni mate labda mlisoma nae , mtu ambae mnaendana sana kimtazamo kwenye hatua mlizopiga kwenye maisha , matamanio yenu na vitu mnavyotamani mviachieve

Ni mtu ambae hata mkikutana hakuna hata cha muhimu saaana mnachotaka kukiachieve ni kuongea tu , kukumbushana mambo ya hapa na pale , kukumbushana mambo ya zamani , kuambizana wapi kuna fursa sasahivi, kuambizana wapi mnakwama ,

Ni mtu ambae mnakua mnaendana maana hakuna kiongozi wa mwengine mnaonana k**a watu mnaolingana na mnafurahia sana moments mnazokutana

unataka kumjua mtu wa tano?

Giving is not always a virtue. It has a dark side. It's called toxic generosity.This is how it works:1st time you give s...
29/03/2026

Giving is not always a virtue. It has a dark side. It's called toxic generosity.

This is how it works:
1st time you give someone something, they will appreciate it.

2nd time, they will anticipate it.

3rd time, they will expect it.

4th time, they will become entitled towards it.

5th time, they will become totally dependent on it.

People think giving is always kind, but they don't realize that giving can rob people off their dignity, weaken their spirit & reinforce their dependence.

Address

Dar Es Salaam
1041

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when kodoba starm3lon posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share