GIGGY MONEY FAN PAGE.

GIGGY MONEY FAN PAGE. Artist/Content creator

It's Giggy Money Family❤️

🧐
(3)

21/09/2025

Muda wa Kuwekana sawaaa kidogo, Maana waja Mmezidi kuwa Waongo😏😏😏😏

Timu Tunayo ndugu zangu, Shida ilikuwa kwa refa ndo Ametuangushaa Ile mbaya😏😏😏😏
16/09/2025

Timu Tunayo ndugu zangu, Shida ilikuwa kwa refa ndo Ametuangushaa Ile mbaya😏😏😏😏

Gigy Money Og, Made from Tanzania, Alafu Siringi wala nini, Nina roho safiii❤❤
15/09/2025

Gigy Money Og, Made from Tanzania, Alafu Siringi wala nini, Nina roho safiii❤❤

15/09/2025

Ila mimi piaa huwa nawazaga, kwann mwanaume akikununulia ka bia tu anawazaa mkalalee hiviii kwelii 1,500 ndo tukapumzikee😅😅😅Hawa watu wapojeee,

14/09/2025

Mbona Mnapenda kumkelaa Shoga yanguu, Jamanii😂😂😂😂

Haya! Tupeane Mawazo sasa ya kutoboaa maana mwaka ndo huo unakalibia kuishaa, Taja biashara yenye Mtaji mdogo ambayo ina...
14/09/2025

Haya! Tupeane Mawazo sasa ya kutoboaa maana mwaka ndo huo unakalibia kuishaa, Taja biashara yenye Mtaji mdogo ambayo inaweza kumsaidia mtu kujikwamua hata kwa Mia mbili kuliko kukaa bure, kwa mfano Laki tano? Inawezaje kumsaidia mtu ambae bado hajajua nini cha kufanya na bado yupo Ndani anawazaa🤔🤔

Weka comment yako aapo chini mwenye uhitaji atasoma na itamsaidia

Usikubali kuwa Mnyoonge kwenye haya Maisha, Watesi wako Watakunyanyasa mpaka useme hapa ni wapiii...
12/09/2025

Usikubali kuwa Mnyoonge kwenye haya Maisha, Watesi wako Watakunyanyasa mpaka useme hapa ni wapiii...

Nipoo nawazooom, Wanangu wa Simba mpooo, ,Watoto wa Msimbazii 🙌🔥
10/09/2025

Nipoo nawazooom, Wanangu wa Simba mpooo, ,Watoto wa Msimbazii 🙌🔥

Anaomba, Ushauri afanyajee🙌
09/09/2025

Anaomba, Ushauri afanyajee🙌

09/09/2025

Muda wa kuchokozana kidogoo Ayiii😄❤

Address

Https://www. Facebook. Com/profile. Php?id=61561766126766&mibextid=ZbWKwL
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when GIGGY MONEY FAN PAGE. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share