Wastara Insurance Agency

Wastara Insurance Agency For insurance needs
contact us
general insurance

14/11/2022

Kwa huduma bora ya Bima
Wasiliana nasi
0777450421 / 0719125859
Na kwa wale madalali Ukileta mteja Utapata comission/posho yako hapo hapo.

14/11/2022

Habari njema kwa Wadau wetu
Karibu kukatia Bima kwenye office zetu .

Tunakuhakikishia huduma ilio bora.
Pia ukikatia bima kwetu utapata ushauri wa Bure pia utakua unapata updates kila inapo karibia kuisha.

Uhakika wa kufatilia madai na kuhakikisha unalipwa kwa wakati.

Ukileta mteja kwetu unauhakika wa kupata comission/ posho yako hapo hapo

Karibuni sana
0719125859

17/08/2021

Tunakatia BIMA AINA ZOTE.. KWA MAHITAJ WASILIANA NASI

BAADHI YA AINA ZA BIMA NA BEI ZAKE

BIMA NDOGO ZA MAGARI

Gari ndogo binafsi……………………………. Tsh 118,000
Gari ndogo ya Bihashara(Tax,Uber) ………….Tsh 177,000
Suzuki Carry binafsi…………………………..Tsh 118,000
Suzuki carry bihashara……………………….Tsh 177,000
Daladala………………………………….(Inategemea na idadi ya viti)

MAROLI MAKUBWA KICHWA

Tones 0-2 …………………………….Tsh 177,000
Tones 2-5 ……………………………..Tsh 236,000
Tones 5-10 ……………………………. Tsh 295,000
Tones 10 na kuendelea………………..Tsh 354,000
Trailer………………………………….Tsh 118,000

BIMA ZA NYUMBA

Thamani ya 50m ……………………….Tsh 88,500
Thamani ya 100m……………………….Tsh 177,000
Thamani ya 200m ………………………Tsh 354,000

07/07/2018

wastara insurance agency kwa mahitaji ya BIMA fika katika ofisi zetu zilizopo kariakoo- ungoni street(0777 450 421) or buguruni rozana( 0713 370033/ 0622 335099 or ukonga mkabala na geti la jeshi (0715 88 99 97), sinza mugabe(0655 452 728), or mbagala(0657 072 202) au wasiliana nao kwa simu namba 0777 450 421/ 0713 370 033/ 0719 12 5859

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 07:30 - 06:00
Tuesday 07:30 - 06:00
Wednesday 07:30 - 06:00
Thursday 07:30 - 06:00
Friday 07:30 - 06:00
Saturday 09:30 - 14:30
Sunday 08:30 - 14:30

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Wastara Insurance Agency posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share