Kng insurance agency

Kng insurance agency Tunatoa Huduma Ya Bima Aina Zote Popote Ulipo Tanzania Tunakufikia. Elimu Bima Inatolewa Bure. Karibu Tukuhudumie.T
upigie/WhatsApp 0655996584
πŸ“Dar es Salaam

Tunathamini kila mteja anayechagua kufanya kazi nasi. Huduma bora, uaminifu na kujituma ndivyo tunavyovisimamia hapa KNG...
17/08/2026

Tunathamini kila mteja anayechagua kufanya kazi nasi.
Huduma bora, uaminifu na kujituma ndivyo tunavyovisimamia hapa KNG Insurance Agency.

Asante kwa kutuamini.

Ajali imetokea, unaanza na nini?Katika hali ya taharuki, hatua ya kwanza unayochukua inaweza kuwa muhimu sana.𝗔, 𝗕, 𝗖 au...
11/08/2026

Ajali imetokea, unaanza na nini?

Katika hali ya taharuki, hatua ya kwanza unayochukua inaweza kuwa muhimu sana.

𝗔, 𝗕, 𝗖 au 𝗗?
Comment jibu lako hapa chini πŸ‘‡πŸΏ

Heri ya sikukuu ya Nane Nane!
08/08/2026

Heri ya sikukuu ya Nane Nane!

06/08/2026

Bima siyo tu kuwa na cover, ni pia kuitumia kwa usahihi.

Je, unajua matumizi ya gari yanapaswa kuendana na matumizi yaliyoainishwa kwenye policy ya bima?

Kabla ya kutumia gari kwa matumizi tofauti na ya kawaida, hakikisha cover yako inakidhi matumizi hayo.

πŸ“Œ Huu ni mfano wa elimu ya bima tu.

Je, wewe ulikuwa unalijua hili? Tuambie kwenye comments. πŸ‘‡

KNG Insurance | Bima Tanzania
Tunakusaidia kuelewa bima kabla hujaihitaji.

Usiishie kuangalia bei tu unapochagua bima. Kabla hujasaini au kuanza kutumia policy yako, ni muhimu kuelewa vizuri cove...
03/08/2026

Usiishie kuangalia bei tu unapochagua bima.
Kabla hujasaini au kuanza kutumia policy yako, ni muhimu kuelewa vizuri cover uliyonunua, muda wa cover, sum insured, excess na exclusions.

πŸ‘‰πŸΏ Swipe kushoto ujue mambo 5 muhimu ya kuangalia kwenye insurance policy yako.

Una swali kuhusu policy yako?

πŸ“²Wasiliana na KNG Insurance | Bima Tanzania tupo tayari kukusaidia kuelewa bima yako vizuri.

30/07/2026

Hasara haitangazi dharura.πŸ”₯ Wakati unatafuta riziki barabarani, hakikisha umeweka ngao ya uhakika.
Bima ya Goods in Transit (GIT) inakulinda dhidi ya hasara za moto, wizi na ajali ukiwa njiani.
Usisafirishe mzigo kwa kubahatisha.

Wasiliana nasi leo upate suluhisho 0655996584.

Usalama wa mwanafunzi unaanza njiani kabla hata ya kuingia darasani. Wasiliana nasi upate suluhisho la bima ya gari la s...
15/07/2026

Usalama wa mwanafunzi unaanza njiani kabla hata ya kuingia darasani.
Wasiliana nasi upate suluhisho la bima ya gari la shule yako.

Heri ya sikukuu ya Saba Saba.        bimachapchap
07/07/2026

Heri ya sikukuu ya Saba Saba.

bimachapchap

16/06/2026

Kila lori ni uwekezaji mkubwa, usiruhusu janga ligharimu miaka ya jasho lako.

Ushahidi wa huduma bora kutoka kwa mmoja wa wateja wetu wa Corporate.

Asante mteja wetu kwa kutuamini kulinda π—΅π—Όπ—Ώπ˜€π—²π˜€ zako! Furaha yetu ni kuona biashara yako inapaa bila hofu ya barabarani.

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 08:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kng insurance agency posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share