Gigy money-toto la mjini.

Gigy money-toto la mjini. Pesa mbele Mapenzi Tupa kule.

  kuwa Njiwa huwa waaminifu sana katika mahusiano imebainika kuwa hawatoki nje ya ndoa maisha yao yote,Njiwa huwa kuna m...
14/10/2019

kuwa Njiwa huwa waaminifu sana katika mahusiano imebainika kuwa hawatoki nje ya ndoa maisha yao yote,

Njiwa huwa kuna mke na mume ambapo huishi pamoja muda wote na hufanya mapenzi wenyewe bila kuchepuka hata kwa bahati mbaya. Njiwa anapofiwa na mwenzi huomboleza kwa kubaki mjane.

Njiwa jike hutaga mayai mawili tu ambapo kinda watakaototolewa huwa ni wapenzi yaani mke na mume

Kwa tory motomoto Bofya hapa>>>>>https://play.google.com/store/apps/details?id=com.wasanii.news

👄👄💋💋Ushawahi kujikuta katika hali ambayo unashindwa kujua utaanza vipi kuongea na mwanamke? Ni mwanamke mzuri ambaye moy...
17/07/2019

👄👄💋💋Ushawahi kujikuta katika hali ambayo unash
indwa kujua utaanza vipi kuongea na mwanamke? Ni mwanamke mzuri ambaye moyo wako unamtamani lakini akili yako inashindwa kutengeneza mawazo ya jinsi utakavyoanzisha stori na yeye.❤️❤️❤️

Unabakiwa ukimuangalia akikupita mbele yako, ama mbaya zaidi anakuja kuchukuliwa na wanaume wasiokuwa na thamani yeyote kwa maisha yake. Unabakia na majutio na mawazo ya "k**a ningeweza kujiamini mbeleni si ningem...." Well, tatizo hilo halijawahi kutokea kwako pekee bali kwa kila mwanaume wakati flani katika maisha yake na hatutaki lijitokeze tena mbeleni.👄👄👄

So chanzo cha wewe kutoweza kumtongoza huyu mwanamke ni kuwa akili yako ilikataa kutoa mazungumzo ambayo ungeweza kuyatumia kwa huyo mwanamke. Well, waonaje kwa mara moja tukubaliane na akili yako na tusitumie maongezi kuapproach mwanamke, na badala yake tutongoze kimya kimya?💔💔💔

Kutongoza kimya kimya ni mbinu rahisi sana, mwanzo ni rahisi kwa kuwa unapata kujua k**a mwanamke anakupenda au la. So bila kupoteza wakati, hebu tuchambue mpango mzima.

Zifuatazo ndizo mbinu unazopaswa kuzitumia ili mwanamke akupende;💋💋💋

Kwa kutumia macho
Kila mtu anajua nishati inayotokana na kutumia macho. Macho ni kiungo ambacho wanaume wamebarikiwa nacho na akikitumia vizuri kinageuka k**a silaha nzito wakati ambapo unaitumia kwa mwanamke. Ushawahi kujiuliza ni kwa nini wakati mwingine mwanamke anashikwa na aibu/haya wakati unapomwangalia? Ama je ushawahi kumskia mwanamke akisema kuwa usimwangalie machoni mwake? Hii ni kwa sababu macho yanaweza kutumika kuongea maneno ambayo mdomo unaweza kushindwa kuongea.❤️❤️❤️

Wakati utajipata ukimwangalia mwanamke, mwangalie machoni halafu utoe tabasamu. Kumuangalia kunaonyesha unajiamini. Kutabasamu unamwonyesha kuwa wewe ni salama na anaweza kuongea na wewe.👄👄👄

Mfanye akugundue kupitia kutangamana kwako
Njia nzuri ya kusimama ili wanawake waweze kukutambua ni kupitia utangamano wako na wengine. Kujizunguka na wanawake wengi (haswa wale warembo) kutaashiria ya kuwa wewe ni aina ya mwanaume ambaye wanawake wanapenda kuwa naye. Hii itawafanya wanawake wengine katika hio sehemu kuwa na shauku ya kutaka kujua ni kitu gani ambacho kinakufanya wanawake wapende kuwa na wewe. Hii automatically itawafanya wanawake kuwa na umbea kukuhusu, kuvutiwa kwako, na hata kuingiwa na wivu wa kwa nini haujawaingiza katika kundi lako.💋💋💋
Mbinu hii ni moja wapo ya kiutekaji ya wanawake, kimaumbile wanawake hupenda vitu ambavyo wanawake wengine hupenda. Hivyo k**a wewe unamtaka mwanamke flani na hutaki kutumia maongezi, anza kutangamana na marafiki wake wote isipokuwa yeye, mwishowe utamwona akijileta yeye mwenyewe, tena ujitayarishe na mapema kwa kuwa atakuja na presha ambayo k**a hukujipanga vizuri inaweza ikakulemea.❤️❤️❤️

Mvutie na mwonekano wako
Ukitaka kumvutia mwanamke kiurahisi basi ni muhimu kubadilisha mwonekano wako. Mbinu hii tuliieleza kwa kina katika chapisho la jinsi ya kubadilisha mwonekano wako uwavutie wanawake. Kwa kawaida, wanawake wanapenda kushufu wanaume ambao wanavalia kinadhifu.💔💔💔

Lakini hapa usichukulie makosa. Kubadilisha mwonekano hakumaanishi ya kuwa unapaswa kuvalia nguo ghali ama za thamani ya juu. La hasha. Kubadilisha mwonekano kunamaanisha kuvalia nguo safi, nadhifu na ambazo zinaashiria hulka yako. Usijitese kuvalia nguo ambazo haziwiani na wewe kwani kwa mwanamke ni rahisi kukugundua k**a umejeuka mwigo.💋💋💋

Wafanye wanawake wakufukuzie
Kufanya wanawake wakufukuzie inaweza kuwa rahisi sana. Kile ambacho unahitajika ni kutoka nje umakinike na kujifurahisha muda wote. Weka tabasamu katika uso wako na ujiinjoy wewe mwenyewe. Hii itamfanya mwanamke kukunotice na kutamani kuungana na wewe ili muinjoy pamoja.❤️❤️❤️

INGIA HAPA 😍😍😍UBURUDIKE>>>>>>https://play.google.com/store/apps/details?id=com.wasanii.news

Kuchapiwa Mke Wanaume Saa Nyingine Mnajitafutia..Soma HapaWIFE....Honey plz lets come and helpme in the garden to clean ...
09/07/2019

Kuchapiwa Mke Wanaume Saa Nyingine Mnajitafutia..Soma Hapa

WIFE....Honey plz lets come and help
me in the garden to clean these
flowers??
MME.......Are you mad ,do I look like a
gardener?
WIFE.....Ok sory babie,...but
sweetheart please go and fix that
door to the bathroom,Junior broke it
last night??
MME.....I hate your nosense
requests,,do I look like a Carpenter??.
At night MME came back from town
and found that the garden is clean
and the door if fixed well..he was
surprised and decided to ask his wife...
MME.....Honey I can see the garden is
clean and the Door is well fixed,who
fixed the door for you??
WIFE.....Its our neighbour ofcourse..
MME.....Woow thats great,,did he fixed
it for you free of charge?
WIFE........NO he gave me two options
to choose,,,He said I must give him
BREAD OR SE..X..
MME.....I hope you gave him BREAD??
WIFE....What???....Do I look like
BAKERY???

Click here>>>https://play.google.com/store/apps/details?id=com.vichekeshomix.app

My love,I’ve spent hours trying to come up with something nice and creative to say to you today, but nothing sounded mor...
04/07/2019

My love,

I’ve spent hours trying to come up with something nice and creative to say to you today, but nothing sounded more true than wishing you a happy day, because happiness is the key word for success, contentment, joy and achievement.
And that is what I wish you, today and always, because your happiness is my joy; and because your success is a good sign that I’m succeeding in giving you my love, affection and tranquility in order for you to achieve your personal and professional goals.
You are a wonderful person and I feel so happy to be by your side, watching you grow every day and growing with you, realizing that, just by being with you, time is not a burden but an important element for deepening the way we perceive the world, its mysteries and meaning.
Today I wish a lot of things. I want you to receive this words from me gift 🎁 as a confirmation of my so often declared love. I want your soul to be filled with the hope to face the many years to come. I want you to have all the reasons in the world to smile and none to be sad. I want you to have the best, always.
But, what I want the most, what I would really like, is to be close to you as soon as possible, so that, with a big kiss from me, you would also receive the wish for happiness that lies in my soul in this very moment.
Again, happy birthday, my love. & my brother in law happy birthday to you my sweetie baby ❤️🇳🇬

25/04/2019

Bofya Sehemu Yenye alama Nyekundu (SUBSCRIBE) Uungane Na Mimi Kumtukuza Mungu Wetu Anayetupenda.

Afro Dance,, "Amaizing"
17/04/2019

Afro Dance,, "Amaizing"

Subscribe channel uwe wa kwanza kuburudika.

❤️❤️❤️❤️
11/04/2019

❤️❤️❤️❤️

Address

Gigymapesa
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Gigy money-toto la mjini. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share