Kitengo cha Huduma za Ajira - Taesa

Kitengo cha Huduma za Ajira - Taesa To provide high quality and efficient local placement services,cross border placement services,basic labor market information and allied services.

19/12/2023
12/01/2023
08/11/2022

https://jobs.kazi.go.tz

Ewe mteja wa Kitengo cha Huduma za Ajira - TsESA jisajili kwenye link hiyo hapo just ili upate kuhudumiwa,,kabla ya kujaza chochote soma kwanza maelekezo (guideline)

Kijana unayehitaji fursa ya kupata ujuzi wa kazi,,changamkia fursa hiyo....
23/09/2022

Kijana unayehitaji fursa ya kupata ujuzi wa kazi,,changamkia fursa hiyo....

Afisa Kazi Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Ajira (TaESA) Bibi.Jane Sorogo akitoa mafunzo (Orientation) kwa vijana waliocha...
20/08/2022

Afisa Kazi Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Ajira (TaESA) Bibi.Jane Sorogo akitoa mafunzo (Orientation) kwa vijana waliochaguliwa kufanya mafunzo ya Utarajali (Internship) katika ofisi za Mamlaka ya Mapato Tanznia (TRA) katika mikoa mbalimbali nchini.

Pichani ni Mheshimiwa balozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia,Mh.Balozi Ali Mwadini akiambatana na mwekezaji kutoka Saudi...
20/08/2022

Pichani ni Mheshimiwa balozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia,Mh.Balozi Ali Mwadini akiambatana na mwekezaji kutoka Saudi Arabia,Mhandisi Abdullah walipotembelea ofisi za Kitengo cha Huduma za Ajira- (TaESA) jana tarehe 19/8/2022 jijini Dar es Salaam kujadili namna ambavyo watanzania wanaweza kunufaika na ajira nchini Saudi Arabia.
Wengine ni Mkurugenzi wa Kitengo cha Huduma za Ajira nchini ndugu Joseph Sitta Nganga pamoja na maafisa waandamizi wanaoratibu upatikanaji wa fursa za ajira nje ya nchi na uunganishaji watanzania kwenye fursa hizo.

Pichani ni wahitimu  waliounganishwa na taasisi mbalimbali zikiwemo,TRA,TPDC, Azam Media,Coca-Cola,BOA Bank,TPA pamoja n...
04/07/2022

Pichani ni wahitimu waliounganishwa na taasisi mbalimbali zikiwemo,TRA,TPDC, Azam Media,Coca-Cola,BOA Bank,TPA pamoja na chuo cha watu wenye mahitaji maalumu cha Masiwani katika Program ya Taifa ya mafunzo ya Utarajali (National Internship Program) yanayoratibiwa na Kitengo cha Huduma za Ajira (TaESA).
Ni katika zoezi la tathmini kwa wahitimu hao linaloendelea nchi nzima.

Maafisa wa Kitengo cha Huduma za Ajira wakiwa na mkuu wa chuo cha Sabasaba Rehabilitation Vocational Training kilichopo ...
27/06/2022

Maafisa wa Kitengo cha Huduma za Ajira wakiwa na mkuu wa chuo cha Sabasaba Rehabilitation Vocational Training kilichopo mkoani Singida,,pamoja na wahitimu wanaofanya mafunzo ya Utarajali (Internship) katika chuo hicho,,ni katika zoezi la Evaluation linaloendelea nchi nzima.

Kitengo cha Huduma za Ajira kinapenda kuwatangazia wateja wake wote kua kuanzia sasa Registration itafanyika through htt...
12/05/2022

Kitengo cha Huduma za Ajira kinapenda kuwatangazia wateja wake wote kua kuanzia sasa Registration itafanyika through https://jobs.kazi.go.tz ,,,,,
K**a uliwahi kujisajili kwa kwenda physically ofisi za TaESA au ulijisajili kwenye taesa portal tunaomba ujisajili tena kwenye link hiyo hapo juu.
Asante

Picha zikionyesha matukio mbalimbali likiwemo la kusaini mikataba na kupewa vibali vya kazi katika hafla fupi ya kuwaaga...
10/05/2022

Picha zikionyesha matukio mbalimbali likiwemo la kusaini mikataba na kupewa vibali vya kazi katika hafla fupi ya kuwaaga vijana 13 wa Kitanzania waliokidhi vigezo vya kwenda kufanya kazi ya udereva nchini Saudi Arabia. Hafla hiyo fupi imefanyika mapema leo katika ofisi za Kitengo cha Huduma za Ajira (TaESA) - DSM. Kitengo cha Huduma za Ajira (TaESA) ndio msimamizi na mratibu wa kutoa vibali vya kuunganisha watanzania na fursa za ajira nje ya nchi.

Picha ya 1: Afisakazi Mwandamizi Bibi Rhoda Richard akitoa mafunzo ya jinsi ya kushindania fursa mbalimbali za ajira kwa...
28/04/2022

Picha ya 1: Afisakazi Mwandamizi Bibi Rhoda Richard akitoa mafunzo ya jinsi ya kushindania fursa mbalimbali za ajira kwa wahitimu mbalimbali katika ofisi za kitengo zilizopo Dar es Salaam.
Picha ya 2 & 3: Wahitimu hao wakisikiliza kwa makini mafunzo hayo.

27/07/2021

Wahitimu kutoka vyuo mbalimbali ambao wanafanya mafunzo ya utarajali (internship training) wakielezea jinsi mafunzo hayo yanavyowasaidia kupata ujuzi kwa vitendo katika fani walizosomea. Mafunzo hayo yanayoendeshwa na Kitengo cha Huduma za Ajira (TaESA) chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu - Sera,Uratibu,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na wenye Ulemavu.

Address

Along Bibi Titi Road P. O. Box 80348
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 07:30 - 15:30
Tuesday 07:30 - 21:30
Wednesday 07:30 - 15:30
Thursday 07:30 - 15:30
Friday 07:30 - 15:30

Telephone

+255735221022

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kitengo cha Huduma za Ajira - Taesa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Kitengo cha Huduma za Ajira - Taesa:

Share