Nadi Microfinance

Nadi Microfinance Ukurasa rasmi wa Uhalisia Online kwa ajili ya Masuala ya Biashara

  GLO Lemon glo ni king’arisho cha maji ambacho husafisha, kung’arisha na kulinda dhidi ya kila matumizi na inaweza kutu...
13/12/2021

GLO

Lemon glo ni king’arisho cha maji ambacho husafisha, kung’arisha na kulinda dhidi ya kila matumizi na inaweza kutumika kwa usalama katika mbao zote pamoja na sakafu za aina mbalimbali.

👉 Haisambai kwa haraka au kwa matone na haiachi mabaki ya mafuta bali harufu nzuri ya mafuta ya limau.

👉 Imetengenezwa kisasa kwa mfumo wa maji Inatunza samani kwa awamu ya tatu, pamoja na usafishaji wa kuondoa uchafu, mafuta ili kuifanya ipendeze na kung’ara na polish ya kisasa inayotumika kutunza na kulinda kifaa kilichotengenezwa

👉 Inavumilia vitu vyenye vumbi Bidhaa yenye mchanganyiko thabiti, inayotumika kidogo kwa muda mrefu: Bidhaaa ya kiwango na jitihada ndogo kwa matokeo makubwa.

Ifahamu BetaGuard inayotoa sumu katika;•Damu•Ini•Utumbo•Figo•Kongosho•Kibofu•Lymph(mtandao wa kapilari mwilini)Umuhimu w...
12/04/2021

Ifahamu BetaGuard inayotoa sumu katika;

•Damu
•Ini
•Utumbo
•Figo
•Kongosho
•Kibofu
•Lymph(mtandao wa kapilari mwilini)

Umuhimu wa kujilinda dhidi ya mazingira ya sumu kwa kutumia BetaGuard,
Kitu chako cha kwanza cha lishe ya kujilinda dhidi ya uharibifu wa mabadiliko huru kutokana na uchafuzi,mvuke wa ekzosi,ukungu na moshi na sumu nyingine za mazingira

Utengenezaji mzuri wa vitamin zilizochaguliwa vizuri,madini na caretenoid ambazo zinaimarisha uwezo uwezo asilia wa mwili kuondoa sumu na kuzimua vitu vyenye madhara ambavyo vinaathiri afya

Amino acid maalumu inasaidia kuboresha ufyonzwaji wa madini yenye faida.
Je una changamoto yoyote? Chukua hatua sasa jipatie dawa mapema

MIFUPA IMARA YA KESHO INAHITAJI KUPATA LISHE BORA LEO.Je unasumbuliwa na tatizo lolote la mifupa au unataka kuimarisha a...
04/04/2021

MIFUPA IMARA YA KESHO INAHITAJI KUPATA LISHE BORA LEO.
Je unasumbuliwa na tatizo lolote la mifupa au unataka kuimarisha afya ya mifupa yako? Suluhisho ni moja tu.

Tumia Cal-mag kutoka kazi yake ni:
> kusaidia afya ya mifupa na meno imara,
> Inachangia kusaidia afya ya mishipa ya damu ya moyo,
> Shinikizo la damu la kawaida
> ufanyaji kazi mzuri wa Neva na misuli na afueni dalili za PMS na kazi nyingi za vimengenya Ina vitamini D ambayo inaweza kuchangia katika kusaidia afya ya matiti, mifupa, moyo na kinga za mwili.

Vidonge 3 vinakupa I.U 500 za Vitamini D3.

ELIMIKA KUHUSU MAAMBUKIZI YA VIA VYA UZAZI VYA MWANAMKE. (PID)   PID ni pelvic inflammatory  disease  au kwa kiswahili n...
02/04/2021

ELIMIKA KUHUSU MAAMBUKIZI YA VIA VYA UZAZI VYA MWANAMKE. (PID)

PID ni pelvic inflammatory disease au kwa kiswahili ni maambukizi katika via vya uzazi vya mwanamke. Kwa kawaida huu ugonjwa unawapata wanawake zaidi kwasababu bacteria wanaingia kwenye va**na (Uke) ya mwanamke na kuanza kushambulia shingo ya kizazi na kusababisha Maambukizi matokeo yake unakuta mirija ya uzazi inajaa maji na uchafu na Kuvimba na kuziba na hatimaye kupata makovu.

Hapo unakuwa umepoteza mirija na hivyo unakuwa *MGUMBA*,NDIO MAANA WANAWAKE WENGI WANA SHIDA YA UZAZI LEO.

Pia bacteria wanaweza kusambaa kwenye kizazi na kusababisha kizazi kujaa maji na hivyo ikawa ngumu kubeba mimba .kadiri mwanamke anavyokaa na PID, ndivyo ngumu kubeba mimba kwasababu PID inavuruga homoni ndio maana unakuta mwanamke ana ovarian cysts ( uvimbe kwenye mfuko wa mayai),pcos vivimbe vidogo vidogo kwenye mayai ,na fibroids ( uvimbe kwenye kizazi) na hata bacteria kuleta shida katika mfumo wa mayai.

Suluhisho lipo piga simu 0620216768/0748005525

PUNGUZA UZITO NA NEOLIFE SHAKE KWA USALAMA KABISA.Neolife shake ni bidhaa bora kwa ajili ya afya yako na haina sumu yoyo...
01/04/2021

PUNGUZA UZITO NA NEOLIFE SHAKE KWA USALAMA KABISA.

Neolife shake ni bidhaa bora kwa ajili ya afya yako na haina sumu yoyote. Tumia bidhaa utajionea matokeo. Faida zake zilizothibitishwa kiklinikali ni :
> kupunguza uzito na kulinda moyo
> Inapunguza mafuta na ukubwa wa mwili.
> Inapunguza kipimo cha mwili
> kulingana na Urefu na uzito (Body mass index)

Ina mchanganyiko pekee wa 18g za ubora wa juu wa protini, Ina Amino asidi zote 22, Vitamini na madini muhimu 25, ina nyuzi nyuzi za kutosheleza G5 na ina kilojoules 663 tu. Na inatumika kwa kuchanganya kwenye maji.

Wapigie kwa >>• 0620216768/ 0748005525

MARADHI SUGU NA SULUHISHO.    Shirika la Afya Duniani  lilitabiri kuwa ifikapo mwaka 2020 maradhi sugu yatakuwa yakichan...
31/03/2021

MARADHI SUGU NA SULUHISHO.

Shirika la Afya Duniani lilitabiri kuwa ifikapo mwaka 2020 maradhi sugu yatakuwa yakichangia vifo 3 kati ya kila vifo vinne ulimwenguni.
Maradhi hayo sugu ni pamoja na:
> Ugonjwa wa moyo, saratani, Kisukari, kupooza, Ugonjwa sugu wa mfumo wa upumuaji

Mamlaka ya Afya yanayoongoza yamekubaliana kuwa jambo muhimu kayika kuzuia ugonjwa na kuimarisha afya ni:
> Kudhibiti uzito wa mwili
> Mazoezi ya mwili na Mlo wenye virutubisho vyote vya chakula unaopatikana katika
> Nafaka kamili
> Matunda na mboga mboga
> Samaki.
Pata dawa mbali mbali za kuongeza kinga mwili kwa 37% ndani ya siku 20 tu & magonjwa yanayokusumbua na ushauri nasaha. Na bidhaa kiboko kwa ajili ya usafi na kilimo zipo
Piga>>> 0620216768/ 0748005525

AFYA YAKO NDIYO THAMANI YAKO: JIPATIE BIDHAA AMBAZO NI SULUHISHO KWA  MAGONJWA MBALI MBALI YAFUATAYO:👉KISUKARI👉UVIMBE👉PR...
27/03/2021

AFYA YAKO NDIYO THAMANI YAKO: JIPATIE BIDHAA AMBAZO NI SULUHISHO KWA MAGONJWA MBALI MBALI YAFUATAYO:

👉KISUKARI
👉UVIMBE
👉PRESHA YA KUPANDA, MATATIZO YA MOYO, GANZI ,
👉VIDONDA VYA TUMBO
MATATIZO YA JOINTS,MIFUPA
👉BIDHAA ZA UZITO
👉BIDHAA ZA WATOTO
👉BIDHAA ZA MATATIZO YOTE YA UZAZI KWA WANAWAKE
👉BIDHAA ZA CHANGAMOTO ZA UZAZI KWA WANAUME .
TEZI DUME .
👉Allergy NA MAGONJWA YA NGOZI ..
CHUNUS SUGU
👉UTI SUGU,FUNGUS SUGU, PID.

Je una tatizo lolote la Afya? Wasiliana nasi 👉 0620216768/ 0748005525 tukuhudumie.

JE UNASUMBULIWA NA MAGONJWA SUGU?: YA MOYO, MGONGO ,U.T.I, MAGOTI, MACHO, KUSAHAU OVYO,NGUVU ZA KIUME,MATATIZO YA K**E N...
26/03/2021

JE UNASUMBULIWA NA MAGONJWA SUGU?: YA MOYO, MGONGO ,U.T.I, MAGOTI, MACHO, KUSAHAU OVYO,NGUVU ZA KIUME,MATATIZO YA K**E N.K 👇

Provitality ni vidonge tofauti na vidonge vya kawaida vilivyozoeleka mahospitalini: vimetengenezwa kwa kufata viwango vya afya vya kimataifa. Ni vidonge vya virutubisho aina nne muhimu sana kwa afya ya binadamu ambavyo ni:

👉 Tre-en-en:

Kijazilizo cha mafuta na steroli zinazotokana na nafaka tu ambacho ni cha kwanza na pekee duniani kilichothibitishwa kuongeza nguvu na uzima kupitia lishe bora ya seli. Kwa mujibu utafiti uliofanywa katika chuo kikuu cha Texas A &M Nchini Marekani, ulionesha kwamba mlo ukiwa na Tre-en- en, ukuaji na uongezekaji wa jumla, utumiaji wa virutubisho na uimarikaji wa mishipa ya moyo huboreka.

👉 Carotenoid Complex

Huongeza utendaji kazi jumla wa kinga kwa 37% kwa siku 20 tu.
> inaongeza mwitiko wa kinga wa seli damu nyeupe
> Inapunguza sumu ya mafuta ya kolestro na inaongeza afya ya moyo
> inaongeza viwango vya kiondoa sumu katika damu kwa kinga ya muda mrefu ya seli dhidi ya uharibifu wa kawaida.

👉 Salmon Oil plus

Imethibitishwa kitabibu kusaidia afya ya moyo na mishipa ya moyo, omega 3 Salmon oil plus inaweza pia kuongeza utendaji kazi wa ubongo, afya ya viungo na macho yenye afya.

> Inafaa kwa wajawazito kusaidia macho na ukuaji wa ubongo wa mtoto tumboni mwa Mama.

NOTE : Ni mafuta ya samaki yenye ufanisi mkubwa kiutendaji Duniani yamekamilishwa kwa uwekaji wa viwango vinavyokubalika vya Omega-3 zote 8.

👉 Vitamini muhimu & Uadini mbali mbali

Inamchanganyiko wa vitamini na madini muhimu 23 ambayo husaidia mmeng 'enyo na ufyonzwaji wa virutubisho muhimu.

KWA UHITAJI WA DAWA HIZI NA MAELEZO YA KINA PIGA 👉 0620216768/ 0748005525.

Address

Kinondoni
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nadi Microfinance posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category