CDQLink Investment Company

CDQLink Investment Company Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from CDQLink Investment Company, Dar es Salaam.

Endelea kuwa karibu nasi kwa huduma bora na bei nafuuHizi ni salamu zetu kwa mwaka mpya.
06/01/2022

Endelea kuwa karibu nasi kwa huduma bora na bei nafuu
Hizi ni salamu zetu kwa mwaka mpya.


PACKAGE YA UJENZIHii ni package inayojihusisha na vitu viwili:KWANZA: Ujenzi wa majengo mapya.PILI: Kurekebisha majengo ...
06/01/2022

PACKAGE YA UJENZI
Hii ni package inayojihusisha na vitu viwili:
KWANZA: Ujenzi wa majengo mapya.
PILI: Kurekebisha majengo ya zamani yaliyochakaa.

Kwa mteja atakayehitaji kujengewa majengo au nyumba mpya na hana kitu chochote kampuni itakuwa na jukumu la kufanya vitu vifuatavyo kwa mteja:

1.Kampuni itatoa QS( Quantity Surveyor) pamoja na Architecture. Ambapo kazi ya Qs ni kuangalia gharama zote zitakazotumika katika ujenzi kwa ujumla. Na kazi ya Architecture ni kutengeneza ramani pamoja na 3D's zake kulingana na mahitaji ya mteja.

NB:Ili mteja aweze kupata hii huduma lazima alipe gharama ya shilingi 80,000 kwa mteja atakayekuwa ndani ya mkoa wa Dar es salaam. Kwa mteja atakayekuwa nje ya mkoa wa Dar es salaam gharama itakuwa tofauti kidogo kwa sababu itamlazimu alipe gharama za nauli, malazi pamoja na chakula kwa QS na Architecture.

2.Kwa mteja atakayehitaji kujengewa na kampuni kwa kutumia mkopo lazima awe amefikisha 40% ya malipo ya ujenzi, asilimia itakayobaki kampuni itamalizia na riba zetu ni nafuu. Pia mteja atapewa mkataba.

3.Kwa mteja ambaye atahitaji kampuni ifanye marekebisho kwenye majengo au nyumba iliyochakaa kampuni itatoa QS ambapo ataenda kuangalia gharama za vitu vyote vitakavyohitajika katika kufanya marekebisho hayo.

NB: Ili kupata huduma hii mteja atahitajika kulipia kiasi cha shilingi 80,000 kwa aliyekuwa ndani ya mkoa wa Dar es salaam wa nje ya mkoa gharama zitakuwa ni tofauti kidogo.

Package yetu ya ujenzi ya mwaka 2022.Karibu tukuhudumieCall 0659 306818WhatsApp 0659 306818
06/01/2022

Package yetu ya ujenzi ya mwaka 2022.
Karibu tukuhudumie
Call 0659 306818
WhatsApp 0659 306818

Heri ya mwaka mpya kwenu wateja wetu.
06/01/2022

Heri ya mwaka mpya kwenu wateja wetu.

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255717123838

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when CDQLink Investment Company posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share