Bima Updates Tanzania

Bima Updates Tanzania Pata Updates (Sasisha) zote kuhusu Bima nchini kwetu Tanzania nchi jirani na duniani kwa ujumla.

Tafadhali COMMENT, LIKE, SHARE, CALL, TEXT wakati wowote utakapokuwa na chochote kuhusiana na masuala ya Bima aina zote.

0755101031

Alhamdulillah for everything…
19/02/2024

Alhamdulillah for everything…

BIMA WALK: MATEMBEZI YA KIBIMA Karibu tushiriki matembezi ya kibima kuanzia ofisi za Taasisi ya Bima Tanzania iliyopo Ma...
31/10/2022

BIMA WALK: MATEMBEZI YA KIBIMA

Karibu tushiriki matembezi ya kibima kuanzia ofisi za Taasisi ya Bima Tanzania iliyopo Maktaba House, kupitia mtaa wa Ohio, Ghana, Shaaban Robert, Samora hadi Clock Tower na kufika viwanja vya Mnazi mmoja ambapo mkutano ndipo utakapo fanyikia.

11/07/2021

Kata Bima yako sasa kwenye kampuni unayoiamini baada ya kufanya tathmini kwa kina juu ya huduma zake.

29/05/2021

tunapenda kumpongeza kwa kushinda pambano lake la jana na kuendelea kuipeperusha vyema bendera yetu ya 🇹🇿

29/05/2021

A FRIENDLY REMINDER: UKUMBUSHO

Usikubali kukatia Bimachombo chnako na kupewa stika za kubandika kwenye kioo cha gari, Bajaj au kufanya lamination kwa wenye bodaboda/pikipiki.

Hakuna stoka hizo za kwaida tena, sasa hizi kuna stika za tu, hata Polisi wa barbarians akiangalia anaona una Bima kwa mfumo mpya kupitia link;-

https://tiramis.tira.go.tz/ #/

KUTOKA TIRA:Follow us for more   and to
21/05/2021

KUTOKA TIRA:

Follow us for more and to

21/05/2021

SHORT PERIODS INSURANCE (BIMA ZA MUDA MFUPI):

Mamlaka ya Bima nchini Tanzania (TIRA) hatimaye yatoa tamko (Adendum ) la kuhusu Bima za muda mfupi . Mamalaka hiyo inayosimamia Bima nchini Tanzania katika dhamira ya kukuza na kuongeza uelewa na uthubutu wa kutumia Bima nchini leo tarehe 21/04/2021 imetoa muongozo mpya wa kukatia Bima mbalimbali ikiwemo Bima za muda mfupi maarufu kwa jina la short period ambazo hasa zilikuwa zikitumika kwenye Bima za vyombo vya moto k**a vile magari, bajaj na pikipiki zimesitishwa au kuondolewa rasmi na kutokana na maelekezo hayo Bima ndogo (Third Party Only) kwenye vyombo vya moto zitakuwa ni za muda wa miezi 12 tu (Mwaka).

Endelea kutufuatilia ili kujua k**a kutakuwa na Bima za muda mfupi kwenye Bima kubwa yaani "Motor Comprehensive"

Follow us on Twitter

16/04/2021

Tukiwa bado tupo kwenye mchakato wa mfumo mpya wa kielektroniki wa kuhakiki bima mtandaoni, link hii ni mpya kwa ajili ya kuhakiki taarifa zako za Bima mtandaoni.

https://tiramis.tira.go.tz/ #/

Tutaendelea kukupa updates mbalimbali kuhusiana na mfumo mpya wa kielektroniki wa kuhakiki taarifa zako za bima.



[email protected]
0755 10 10 31

Mfumo mpya wa kielektroniki   unakuhitaji wewe mtumiaji wa huduma hiyo ya   kutoa taarifa zako k**a vile;-1️⃣ Mtaa/mahal...
11/04/2021

Mfumo mpya wa kielektroniki unakuhitaji wewe mtumiaji wa huduma hiyo ya kutoa taarifa zako k**a vile;-

1️⃣ Mtaa/mahali unapoishi
2️⃣ Namba ya kitambulisho (Kura, NIDA, Udereva)
3️⃣ Jinsia na tarehe ya kuzaliwa

Hivi ni vitu muhimu sana kwani husaidia katika rekodi za kampuni inayokupa huduma ya Bima, watu wa Benki watakubaliana nami kwenye hili maana wao wanita KYC (Know Your Client) - kwa maana kwamba mjue mteja wako.

Ukimjua mteja wako utajua jinsi gani ya kumhudumia kwa usahihi na vile yeye mteja atakavyotaka na kumridhisha na huduma iliyotolewa.

Kwa maelezo zaidi tuwasiliane;-

[email protected]
0755 10 10 31

#0755101031

03/04/2021

Bima Updates Tanzania tutakujuza au kukuletea Updates (Sasisha) zote zinazohusiana na Bima (Insurance)

Karibu tushiriki sote katika kukuza uelewa wa Bima nchini kwetu. Pia kupata sasisha kutoka nchi jirani na duniani kwa ujumla.

#0755101031

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bima Updates Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Bima Updates Tanzania:

Share