Master storage investments

Master storage investments Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Master storage investments, Dar es Salaam.

Master storage investments wauzaji wa Frash na memories aina zote kwa Bei ya jumla na lejaleja ....big promotions na fursa kadha wa kadha kwako wewe mjasiliamali

03/08/2021

NSSFTz the solution of your future ..
Social protection students at ifm we are leady to save the community.

Siku zote mtu waweza kupenda kitu kutokana na mtu furani na waweza kuchukia kitu furani kwa sababu ya mtu furani.Binafsi...
03/08/2021

Siku zote mtu waweza kupenda kitu kutokana na mtu furani na waweza kuchukia kitu furani kwa sababu ya mtu furani.
Binafsi nilijikuta nafatilia siasa, bunge, na shuguli zinginezo za aina hii kutokana na kukubali kazi, aina na uwezo wa mwanamama, mama yangu, kiongozi wangu dr.tulia ackson.

Sio wa kabila langu, sio wa jinsia yangu, sio wa rika yangu, sio wa mkoa jirani na wangu na zaidi sijawah hata kukutana na wewe live.

Kikubwa wewe ni mtanzania unaefanya kazi Tanzania kwa ajiri ya watanzania. I appriciate your job na nakuombea kwa mungu uzidi kua na moyo wa kwenda mbele kwa maslahi ya Tanzania god will pay you...AMINA... .ackson

12/06/2021

NSSFTz the solution of your future ..
Social protection students at ifm we are leady to save the community.

Kwa mahitaji ya flash na memory card kutoka nje ya nchi kwa bei ya jumla wasiliana nasi kwa sim nambari 0718296538 au 07...
18/02/2021

Kwa mahitaji ya flash na memory card kutoka nje ya nchi kwa bei ya jumla wasiliana nasi kwa sim nambari 0718296538 au 0768807047. ...tunapatikana kigamboni dar es salaam Tanzania

Tupo kigamboni dsm our offices at bagamoyo Tz karibuni nyote mfrahie offer zetu kabambe katika bidhaa zetu.
16/01/2021

Tupo kigamboni dsm our offices at bagamoyo Tz karibuni nyote mfrahie offer zetu kabambe katika bidhaa zetu.

"MASTER STORAGE INVESTMENTS"    Hii ni kampuni inayojihusisha na uuzaji pamoja na usambazaji wa flash, memory cards, sci...
26/12/2020

"MASTER STORAGE INVESTMENTS"
Hii ni kampuni inayojihusisha na uuzaji pamoja na usambazaji wa flash, memory cards, scientific calculators, smalt watches, bluetooth earphones etc ..bidhaa zote zinauzwa kwa jumla na rejareja...TUPO KIGAMBONI DSM. bei zetu ni nzuri zaidi ya sanah
Call # :0768807047/0718296538...KARIBUNI NYOTE Master storage investments MWANGA WA WAJASIRIAMALI

Offer kali zilizopo MASTER STORAGE INVESTMENTS kwa sasa....flash 64 gb kwa only Tsh 30,000/= hakika hii sio ya kukosa. P...
17/12/2020

Offer kali zilizopo MASTER STORAGE INVESTMENTS kwa sasa....flash 64 gb kwa only Tsh 30,000/= hakika hii sio ya kukosa. Piah ipo offer ya scientific calculator brand new kwa oly 25,000/=Tsh karibuni nyote karibuni sanah call 0768807047/ 0718296538 tupo kigamboni dsm

26/08/2020

Tunasambaza na kuuza memory card pamoja na flash kutoka china kwa bei ya jumla na lejaleja ...karibu sanah mjasiliamali ujipatie faida mala dufu na bidhaa zetu tupigie kwa Sim number 0718296538/0768807047

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Master storage investments posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share