Fin Tanzania

Fin Tanzania Fin (formerly Finclusion Group) is Simply Smarter Finance for everybody.

Fin Tanzania inawatakia Sikukuu Njema ya Maulid yenye Amani, Upendo na Furaha🙏🏽
25/08/2026

Fin Tanzania inawatakia Sikukuu Njema ya Maulid yenye Amani, Upendo na Furaha🙏🏽

20/08/2026

Nunua gari lako bila stress ukiwa na Fin Tanzania.

Tunakupatia mpaka TZS Millioni 100 ujipatie gari lako ndoto zako.

Chagua gari ulipendalo kisha wasiliana nasi kwa simu namba 0659 07 09 30 au chat na sisi kwa whatsapp namba 0762 77 77 33 kupata huduma zetu.

Vigezo na masharti kuzingatiwa.

18/08/2026

Usiwaze tena kuhusu bills zako kwasababu Fin Tanzania inakupatia suluhisho kamili.

Tunakupatia kuanzia TZS Millioni 1 mpaka Millioni 50 kwa marejesho ya mpaka miezi 12 kwa kutumia dhamana ya kadi ya gari lako.

Tupigie 0659 07 09 30 au chat na sisi kwa whatsapp namba 0762 77 77 33 kupata huduma zetu za mikopo.

Vigezo na masharti kuzingatiwa.

🚨DAR ES SALAAM, MSIKOSE 🚨 Kesho tunakutana Daslam Carwash, Sinza kwa tukio maalum la OSHA GARI BURE - PATA MKOPO!!Njoo u...
14/08/2026

🚨DAR ES SALAAM, MSIKOSE 🚨

Kesho tunakutana Daslam Carwash, Sinza kwa tukio maalum la OSHA GARI BURE - PATA MKOPO!!

Njoo uoshe gari lako bure huku ukipata nafasi ya kufahamu zaidi kuhusu Mikopo ya Gari na Fedha kutoka kwa timu ya Fin Tanzania!!

📅 Kesho, Jumamosi 15/08
📍Daslam Carwash, Sinza Near Wanyama Hotel
🔥Wahi, nafasi ni chache

Tell a Friend to Tell a Friend🤗

USIKOSEE🔥


Usiwaze kabisa kuhusu kununua gari jipya.Fin Tanzania inakupatia kiasi kuanzia TZS Millioni 1 mpaka Millioni 100 kwa aji...
13/08/2026

Usiwaze kabisa kuhusu kununua gari jipya.

Fin Tanzania inakupatia kiasi kuanzia TZS Millioni 1 mpaka Millioni 100 kwa ajili ya kununua gari ya ndoto zako.

Marejesho ni mpaka miezi 24.

Tupigie 0659 07 09 30 au chat na sisi kwa whatsapp namba 0762 77 77 33 kupata huduma zetu.

WASIKUTISHE!😎Kumiliki gari si lazima iwe safari ngumu. Anza leo, lipa kidogo kidogo na uendeshe gari ya ndoto yako..Tupi...
10/08/2026

WASIKUTISHE!😎

Kumiliki gari si lazima iwe safari ngumu.
Anza leo, lipa kidogo kidogo na uendeshe gari ya ndoto yako..

Tupigie 0659 07 09 30 au chat na sisi kwa whatsapp namba 0762 77 77 33 kupata huduma zetu.

Vigezo na masharti kuzingatiwa.

Fin Tanzania wishes you a Happy Nane Nane Day as we celebrate the dedication, hardwork and contribution of our farmers t...
08/08/2026

Fin Tanzania wishes you a Happy Nane Nane Day as we celebrate the dedication, hardwork and contribution of our farmers towards a stronger and more secure future.

Happy Nane Nane Day🌾

Mahitaji ya dharura hayana muda wa kusubiri.. Pata fedha unazohitaji kwa haraka kupitia mkopo huu wa CHAP CHAP. Tupigie ...
06/08/2026

Mahitaji ya dharura hayana muda wa kusubiri.. Pata fedha unazohitaji kwa haraka kupitia mkopo huu wa CHAP CHAP.

Tupigie 0659 070 930 au chat nasi kwa whatsapp namba 0762 777 733 kupata huduma zetu.

Vigezo na masharti kuzingatiwa.

17/07/2026

Unafahamu dili la madalali kutoka Fin Tanzania?

Baada ya kutangaza dili la madalali, hatimaye tukapata nafasi ya kuongea nao juu ya hilo dili kutoka Fin Tanzania.

Tunawashukuru wote walioweza kufika ofisini kwetu na kulipokea dili letu.

Mtoa dili ni mmoja tu - Fin Tanzania.

Je na wewe unatamani kulifahamu dili?

Wasiliana nasi kwa simu namba 0659 07 09 30 au whatsapp namba 0762 77 77 33.

Kumbuka Fin Tanzania, tuna dili.

Ubingwa ni wewe kumiliki gari lako mwenyewe. Fin Tanzania inakufanya uwe bingwa kwa kukupatia mpaka TZS Milioni 100 ili ...
15/07/2026

Ubingwa ni wewe kumiliki gari lako mwenyewe.

Fin Tanzania inakufanya uwe bingwa kwa kukupatia mpaka TZS Milioni 100 ili ununue gari jipya.

Una ngoja nini?

Tupigie 0659 07 09 30 au chat na sisi kwa whatsapp namba 0762 77 77 33 kupata huduma zetu.

Vigezo na masharti kuzingatiwa.

Address

Tanhouse 9th Floor, Victoria, New Bagamoyo Road
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00

Telephone

+255762777733

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Fin Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Fin Tanzania:

Shortcuts

Share