Kingupi Investment Group

Kingupi Investment Group TUNAZALISHA NA KUUZA BIDHAA ZA ASILI .

Sabuni hii ya MCHELE ni Sabuni ya kipekee, unapoitumia lazima ilete matokeo mazuri KWA wenye changamoto za Chunusi, vipe...
16/11/2021

Sabuni hii ya MCHELE ni Sabuni ya kipekee, unapoitumia lazima ilete matokeo mazuri KWA wenye changamoto za Chunusi, vipele, ukurutu, madoadoa na wenye muonekano mbaya wa Ngozi. Ngozi inakuwa nyororo na yenye kupendeza. Inafahaa KWA jinsia zote.

Zinapatikana KWA Bei nafuu Sana.

TUNATUMA pia mikoani KWA gharama nafuu Sana.

Wasiliana Nasi KWA whatsapp: 0764013664 , piga: 0659432215 au 0785439315.

PIKI COCONUT OIL, Ni mafuta pekee yaliyotengenezwa yakifanya Kazi zaidi ya 3, yaani kurefusha nyweli na KUZIFANYA kuwa i...
27/06/2021

PIKI COCONUT OIL, Ni mafuta pekee yaliyotengenezwa yakifanya Kazi zaidi ya 3, yaani kurefusha nyweli na KUZIFANYA kuwa imara, Kung'arisha Ngozi Yako na kuifanya kuwa nyororo, Kutibu mafua na kikohozi n.k

Tunauza kwa Bei ya jumla na rejareja.

Wasiliana Nasi KWA : 0764013664 au 0659432215.

Tunawatakia heri wateja wetu wote Eid Mubarak.
13/05/2021

Tunawatakia heri wateja wetu wote Eid Mubarak.

Bidhaa zetu tulizoboresha, Ili kukupa mlaji UNAFUU katika Bei, Ubora zaidi na matokeo ya UHAKIKA kwenye Ngozi Yako, Tuna...
28/04/2021

Bidhaa zetu tulizoboresha, Ili kukupa mlaji UNAFUU katika Bei, Ubora zaidi na matokeo ya UHAKIKA kwenye Ngozi Yako, Tunazo sabuni Tiba za Mchele ndogo, Sabuni Tiba Ukwaju, Sabuni tiba Mwarobaini, Sabuni Tiba Manjano & Alovera.

SIFA zake:
- Zinaondoa Chunusi.
- Zinaondoa harara.
- Zinaondoa madoa doa.
- Zinaondoa mba wa ngozi.
- Zinasaidia Sana KWA wale wote waliotumia vipodozi vyenye viambata vyenye sumu kali.

Bei zake:
- Bei za kiwandani @ tsh 1,000/= tu kuanzia pic 100.

- Bei za kiwandani @ tsh 800/= kuanzia pic 200.

TUNATUMA POPOTE jijini Dar es salaam na mikoani TUNATUMA .

Wasiliana Nasi WHATSAPP: +255 659432215 au +255 764013664.

Piga simu: +255 735013664 au +255 785439315.

PATA UNAFUU WA BEI , UBORA ZAIDI NA MATOKEO YA UHAKIKA.

20/04/2021
Bidhaa zetu bora hii inapatikana KWA Bei ya jumla na rejareja. Wasiliana Nasi Kwa Whatsapp: +255 659432215 au +255 76401...
04/04/2021

Bidhaa zetu bora hii inapatikana KWA Bei ya jumla na rejareja. Wasiliana Nasi Kwa Whatsapp: +255 659432215 au +255 764013664.

Au Piga : +255 735013664 au +255 785439315.

Kwa bidhaa bora ya Mafuta ya N**i + Kitunguu. Karibu ujipatie bidhaa YAKO kwa Bei NAFUU ya jumla na rejareja. Wasiliana ...
30/03/2021

Kwa bidhaa bora ya Mafuta ya N**i + Kitunguu. Karibu ujipatie bidhaa YAKO kwa Bei NAFUU ya jumla na rejareja. Wasiliana Nasi kwa Whatsapp: 0764013664 au 0659432215.

Popote tutakufikia nchini.

😭😭😭
18/03/2021

😭😭😭

Address

Kiwalani
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kingupi Investment Group posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Kingupi Investment Group:

Shortcuts

Share