One Answer Microfinance Limited

One Answer Microfinance Limited Tunatoa Huduma za Mkopo Kwa wafanyakazi, wafanyabiashara, wajasiriamali,na wote wanaoingiza kipato k

29/07/2026
Tupo mtaani, tupo karibu na wewe! ๐Ÿ“๐Ÿ˜ŠMaafisa wetu wiki hii wapo Sokoni Mabibo wakikutana na wananchi, kusikiliza mahitaji...
19/05/2026

Tupo mtaani, tupo karibu na wewe! ๐Ÿ“๐Ÿ˜Š

Maafisa wetu wiki hii wapo Sokoni Mabibo wakikutana na wananchi, kusikiliza mahitaji yenu na kutoa taarifa kuhusu huduma zetu za mikopo.

Tunaamini huduma bora inaanzia kuwa karibu na wateja wetu ๐Ÿค

Umetuona Mabibo? Njoo utuone au wasiliana nasi leo.

Tuma DM au piga/WhatsApp: +255 759 432 240 ๐Ÿ“ฒ

18/05/2026

MABIBO TUNAKUJA! ๐Ÿ“ข

Leo tutakuwa Sokoni Mabibo tukiwafikia wananchi na kutoa taarifa kuhusu huduma zetu za mikopo ๐Ÿ’ผ

Una maswali? Unahitaji mkopo? Au unataka kujua vigezo na utaratibu? Huu ndio muda wako wa kupata majibu ana kwa ana ๐Ÿ˜Š

Usikose kututembelea.

Tufuate au piga/WhatsApp: +255 759 432 240 ๐Ÿ“ฒ

Address

Ubungo Behind Ubungo Plaza & Mikocheni B Near Feza Nursery School
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when One Answer Microfinance Limited posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to One Answer Microfinance Limited:

Shortcuts

Share