10/01/2023
Zijue faida za bima kubwa ya gari(Comprehensive Motor Insurance) ..
Je gari yako umeikatia bima kubwa au ndogo? .Third party private cars ni 118,000 Tshs VAT inclusive.Comprehensive private cars ni 3.5 % ya thamani ya gari plus 18% VAT.
Lete gari zako binafsi na za biashara tukukatie bima za uhakika, Daladala, Taxi, Uber, Gari za kusafirisha Abiria mikoani n.k.
Kwa mahitaj ya bima za aina zote unaweza kufika ofisi zetu zilizopo Kijitonyama, Call/whatsapp 0768639959..