DART workers saccos LTD

DART workers saccos LTD DART WORKES SACCOS LTD, ni taasisi inayofanya masuluhisho ya mitaji kwa wanachama wake.

"DART SACCOS, SUCCESS FOREVER"
13/04/2026

"DART SACCOS, SUCCESS FOREVER"

*✝️ IJUMAA KUU NJEMA*DART SACCOS LTD tunawatakia wanachama wetu *Ijumaa Kuu* njema.Siku hii tukumbuke upendo, sadaka na ...
03/04/2026

*✝️ IJUMAA KUU NJEMA*

DART SACCOS LTD tunawatakia wanachama wetu *Ijumaa Kuu* njema.
Siku hii tukumbuke upendo, sadaka na matumaini ambayo hutuletea nguvu ya kuendelea mbele.

Tunawatakia baraka, amani na mafanikio katika *maisha* na *biashara* zenu.

πŸ“ Ubungo Maji, Dar es Salaam
πŸ“ž +255 759 667 674 | +255 672 516 363

DART SACCOS LTD – Success Forever

DART WORKERS SACCOS LIMITED inawatakia sikukuu njema ya Eid. Pata mkopo wa sikukuu sasa usikae kinyonge . βœ…πŸ”₯πŸ”₯πŸŽ‰
21/03/2026

DART WORKERS SACCOS LIMITED inawatakia sikukuu njema ya Eid. Pata mkopo wa sikukuu sasa usikae kinyonge . βœ…πŸ”₯πŸ”₯πŸŽ‰

✨ EID MUBARAK ✨Je, bado hujajiandaa na Sikukuu? πŸ€”πŸŽ‰ DART SACCOS LTD tupo kwa ajili yako!Pata mkopo wa SIKUKUU kwa haraka ...
19/03/2026

✨ EID MUBARAK ✨
Je, bado hujajiandaa na Sikukuu? πŸ€”

πŸŽ‰ DART SACCOS LTD tupo kwa ajili yako!
Pata mkopo wa SIKUKUU kwa haraka na usherehekee kwa furaha πŸ’ƒ

βœ”οΈ Haraka
βœ”οΈ Rahisi
βœ”οΈ Riba nafuu

Karibu ofisini kwa maelewano zaidi.

DART SACCOS LTD success forever πŸ’™

Picha ya pamoja kati ya DART SACCOS LTD watendaji, viongozi wa bodi na viongozi wa ofisi ya Ushirika ya Ubungo Dar es sa...
18/03/2026

Picha ya pamoja kati ya DART SACCOS LTD watendaji, viongozi wa bodi na viongozi wa ofisi ya Ushirika ya Ubungo Dar es salaam, Mr Frank Swebe na Ms Beatrice Malamsha.

Kikao cha ufunguzi wa Ukaguzi wa kisheria kwa mwaka 2025/2026.

πŸš€ TIMIZA NDOTO YA BIASHARA YAKO LEO!Unahitaji mtaji wa kukuza au kuanzisha biashara?Kupitia DART SACCOS LTD unaweza kupa...
14/03/2026

πŸš€ TIMIZA NDOTO YA BIASHARA YAKO LEO!

Unahitaji mtaji wa kukuza au kuanzisha biashara?
Kupitia DART SACCOS LTD unaweza kupata mkopo wa biashara hadi 25,000,000 TZS kwa urahisi.

βœ… Masharti Rahisi
βœ… Riba Nafuu (1% tu)
βœ… Pata Pesa Haraka

Hii ni fursa kwa wafanyabiashara wanaotaka kuongeza kipato na kupanua biashara zao.

πŸ“ Tunapatikana Ubungo Maji, Dar es Salaam

πŸ“ž Wasiliana nasi sasa:
+255 759 667 674
+255 672 516 363

πŸ”₯ Usisubiri kesho wakati unaweza kuanza leo!

NDOTO YA GARI LAKO INAANZA HAPA!Kupitia DART SACCOS LTD unaweza kupataMKOPO WA VYOMBO VYA MOTO HADI TZS 35,000,000 kwa r...
11/03/2026

NDOTO YA GARI LAKO INAANZA HAPA!

Kupitia DART SACCOS LTD unaweza kupata
MKOPO WA VYOMBO VYA MOTO HADI TZS 35,000,000 kwa riba rafiki sana.

Haraka, rahisi na salama!

πŸ“ Ubungo Maji – Dar es Salaam
πŸ“ž 0759 667 674 / 0672 516 363

DART SACCOS – Success Forever

DART SACCOS LTD inawatakia heri ya siku ya wanawake duniani. πŸ”₯πŸ‘πŸ»
08/03/2026

DART SACCOS LTD inawatakia heri ya siku ya wanawake duniani. πŸ”₯πŸ‘πŸ»

MKOPO MPYA, COUPLE + πŸ”₯ Huu ni mkopo kwaajili ya wanachama wanandoa ambao wote wapo DART SACCOS LTD. Kiwango ni cha juu n...
04/03/2026

MKOPO MPYA, COUPLE + πŸ”₯

Huu ni mkopo kwaajili ya wanachama wanandoa ambao wote wapo DART SACCOS LTD.

Kiwango ni cha juu ni 3M na marejesho yake si zaidi ya mwaka mmoja.

Faida ya mkopo huu ni kwamba mwanachama anauwezo wa kukopea kupitia Akiba za mwenza wake.

Dira ya familia ni kushirikiana ili kufika mbali katika sekta zote k**a familia, usimuache mwenza wako mkapata shida ya kifedha na wakati DART SACCOS LTD ipo kwaajili ya masuluhisho ya mtaji wenu.πŸ”₯πŸ”₯😎

Karibu ofisini kwa uelewa zaidi na zaidi.

β€œDART SACCOS, SUCCESS FOREVER β€œπŸ‘πŸ”₯πŸ”₯πŸ₯³




β€œDART SACCOS, success forever β€œ
25/02/2026

β€œDART SACCOS, success forever β€œ



Address

Ubungo Maji
Dar Es Salaam
P.OBOX80842

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when DART workers saccos LTD posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share