kigera_investment_tz

kigera_investment_tz Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from kigera_investment_tz, ALAF Limited, Dar es Salaam.

VERSATILE (TEX) CHARCOALGREYWARRANTY 15 YEARSGAUGE 28G ONLYWIDTH 1032MMLENGTH 6.6 METERBRAND  Contact: 0688473526 & 0713...
19/05/2026

VERSATILE (TEX) CHARCOALGREY
WARRANTY 15 YEARS
GAUGE 28G ONLY
WIDTH 1032MM
LENGTH 6.6 METER
BRAND
Contact: 0688473526 & 0713102803

Sisi ni suluhulisho wa paa lako karibu  tukuhudumie...🤑Tutafute:06884735260713102803
18/05/2026

Sisi ni suluhulisho wa paa lako karibu tukuhudumie...🤑

Tutafute:
0688473526
0713102803

29/04/2026

Sisi ni tupo kwa ajili yako wewe, kwa mahitaji ya bati za rangi ambazo hazipauki wala kushika kutu tafadhali tuwasiliane

Ni bati ambazo ubora wake ni hali ya juu sana, warranty ni miaka saba kwa G. 30 na miaka 15 kwa G. 28

Unasubiri nini ?

Tunayo huduma ya SITE TO SITE kwa wakazi wa dar es salaam na viunga vyake.. unafikishiwa Bati zako hadi SITE kwako unazikakugua, ukijiridhisha unafanya malipo

Tupigie
0688473526
0713102803

KWETU MTEJA NI MFALME !!

06884735260713102803
23/04/2026

0688473526
0713102803


14/04/2026

Shukrani za Dhati kwa wateja kwa kutuendelea kutuamini na kufanya kazi pamoja.. karibuni sana kwa bidhaa bora kabisa

0688473526
0713102803

03/04/2026

Jana tarehe 2.04.2026 Tulipakia order ya Mteja wetu Mr.Godfrey ilikuwa inaelekea Goba kwa kanjibai ni Covermax brickred G.28 Kutoka ni special order kipimo kirefu ni Mita 8.4

Asante kwa kutuamini kwetu mteja ni mfalme karibu tena na tena ukawe balozi mzuri wa bidhaa zetu, uaminifu ndio mtaji wetu

0688473526
0713102803

paua

03/04/2026

Royal Romanetile charcoal grey... bidhaa halali kutoka
Ni kweli kampuni za mabati ni nyingi sana na bei zao ni nafuu hilo tunalitambu lkn Tanzania hii itabaki kuwa namba
Ubora unaoupata huku cjui k**a na huko mnaupata? Kwa sababu tunatoa warrantyG.30 ni miaka 7 na G.28 ni miaka 15
Endapo litaleta changomoto yoyote, iwe ni kupauka kupita kiasi, iwe kutoa kutu au kutoboka kwa bati, tofauti na warranty inavyosema, jua kiwanda kitagharamika na utapewa bati mpya kwa gharama za kiwanda
Sisi ni wakala wa (OFFICIAL AGENT ALAF LTD) Tunakuuzia bati na kukusafirishia kwa bei ya kiwanda
Malipo yote yanafanyika kupitia account ya kiwanda alaf ltd na utapata order yako kwa wakati
Tupigie 0688473526 & 0713102803
Tupo Tazara dsm... Makao makuu ya kiwanda (ALAF HQ)

Address

ALAF Limited
Dar Es Salaam
2070

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when kigera_investment_tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share