Mozzinvestmentltd

Mozzinvestmentltd 𝐊𝐚𝐫𝐢𝐛𝐮 𝐬𝐚𝐧𝐚 𝐤𝐰𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐤𝐚𝐦𝐩𝐮𝐧𝐢 𝐥

Happy Sunday ⛪💒🏰
14/05/2023

Happy Sunday ⛪💒🏰

Leo unatakiwa ufahamu hivi vitu ni muhimu sana kwenye  kuandaa tangazo lako vitu vyenyewe ni ;Maandishi, - Tumia mwandik...
06/05/2023

Leo unatakiwa ufahamu hivi vitu ni muhimu sana kwenye kuandaa tangazo lako vitu vyenyewe ni ;

Maandishi, - Tumia mwandiko sahihi wenye tangazo lako maandishi yasomeke.

Rangi, - Tumia rangi sahihi hili tushaeleza sana kwenye post za nyuma k**a bado hujasoma ni rangi gani pia matumizi yake soma post za nyuma.

Nafasi, - Tumia nafasi sahihi usibananishe sana sentensi za maneno yako kwenye tangazo lako.

maumbo ,- Hakikisha unatumia maumbo sahihi kwenye tangazo lako rafiki kuma utapendelea tangazo liwe na amino.
taswira,- Taswira lazima tangazo lako liwe na taswira
(Mambo ni mengi sana baki nasi

Huhitaji kujumuisha kila kipengele katika kila tangazo, lakini unapaswa kutumia kadiri uwezavyo ili kuunda miundo inayovutia macho.

Endelea kufurahia mafundisho sahihi ya namna tangazo lako la biashara linatakiwa kuwa ili kuleta mabadiliko makubwa katika eneo hilo la biashara yako

Save , hii post itakusaidia sana katika biashara yako

Follow now
Kwa elimu sahihi ya matangazo ya biashara
Piga Simu Sasa au sms : +255612790475
WhatsApp Link kwenye Bio hapo

CHUKUA NONDO NNE HIZI KWA WEWE MFANYABIASHARA UNAYETAKA KUFIKA MBALITAFUTA WATEJA WAPYAUnatakiwa uwe na utaratibu mzuri ...
20/04/2023

CHUKUA NONDO NNE HIZI KWA WEWE MFANYABIASHARA UNAYETAKA KUFIKA MBALI

TAFUTA WATEJA WAPYA
Unatakiwa uwe na utaratibu mzuri pia mpya K**a ulikuwa hauna wa kutafuta wateja wapya kwenye biashara yako au huduma yako yoyote ile hata k**a tayari una wateja wengi wa kutosha ambao wamenunua bidhaa zako vya kutosha wewe tafuta wapya .
----
WAKUMBUKE WATEJA WAKO WA ZAMANI
Cha pili pia ni cha Muhimu sana Ni kuwakumbuka wateja wako wa kipindi cha nyuma na pia uwakumbushe kuhusiana na ofa au mizigo mpya ambayo umeingiza au umeleta kwenye biashara yako au huduma yako hii Ni Muhimu sana kwanza mteja anajiona yeye ni wathamani Sana kwako kwa kumkumbuka hata kwa kuwapigia simu tu kuwasalimia , au kuwapa ofa basi.
----
UNATAKIWA UWABAKISHE WATEJA UNAOWAPATA
Kuanzia leo ikiwezekana saa hii hii anza kuwabakisha wateja wapya na wa zamani jitahidi Sana Sana rafiki kuwabakisha wateja ambao unawapata kwenye biashara yako maana hapo ndipo penye raha pia ndipo penye hela ndefu zaidi ya utafutaji wa wateja wapya rafiki pia usisahau kuwa na utoaji wa huduma nzuri kwa wateja wako kabla na baada ya kununua kwako.
-----
HAKIKISHA MTEJA WAKO ANANUNUA ZAIDI IKIWEZEKANA ZAIDI TENA
Itakuwa ni vizuri K**a unanielewa rafiki Ni hivi hakikisha mteja wako utakaye mpata kuanzia Sasa hivi Hakikisha Tena hakikisha ananunua zaidi na zaidi bidhaa yako au huduma yako , usiwe kimnya kwenye biashara rafiki ongea na mteja wako , Mteja akinunua bidhaa fulani na unajua kabisaa kuna bidhaa nyingine inafaa zaidi mwambie au mshauri anunue hapo ndo utakuwa umeuza zaidi na zaidi.
-----
ungependa kuendelea kujifunza namna sahihi kuhusu nondo hizo nne

Follow
Call/SMS : +255612790475
Email: [email protected]


Thee Condition which successful business idea must meet1. It must often benefit to the customer by solving or fulfilling...
19/04/2023

Thee Condition which successful business idea must meet

1. It must often benefit to the customer by solving or fulfilling a need
Every successful business must have a unique selling proposing

2. It must have a mechasm to making a revenue, A successful business idea must shown how much money can be warned from it and how will be warned

3. It must a market that will to accept it , A promising business idea must often a product or service that would be accepted by a large market

Save this Post
Share this Post

Pandiasha mauzo yako ya bidhaa au huduma yako, Kati ya vitu Muhimu siku hizi vinavyoweza kuongeza thamani ya bidhaa yako...
19/04/2023

Pandiasha mauzo yako ya bidhaa au huduma yako, Kati ya vitu Muhimu siku hizi vinavyoweza kuongeza thamani ya bidhaa yako pia kuongeza mauzo ni muonekano mzuri unaweza ukawa muonekano mzuri wa MATANGAZO yako pia kurasa zako za MITANDAO hakikisha zinamuonekano mzuri.

Follow us

Call/SMS Us : +255612790475
Email : [email protected]


Zingatia haya K**a unataka kuuza WhatsApp Kwanza siku hizi WhatsApp inawatumiaji wengi wengi Sana zaidi ya Million 3 kwa...
18/04/2023

Zingatia haya K**a unataka kuuza WhatsApp

Kwanza siku hizi WhatsApp inawatumiaji wengi wengi Sana zaidi ya Million 3 kwa hapa Tanzania hivyo basi usifanye hivi vitu kwenye post zako za WhatsApp status

1: Acha kupost Bila kuandika Caption
2: Acha kupost status nyingi Sana post mwisho tano tu , usiweke Tairi
3: Acha kusema mzingo upo mwingi wa kutosha acha kusema hivyo
mengi yapo kwenye picha usiache kusoma

Pia usisahau hii Post

Sema Nini Jumamosi ya leo Imekaa..?Haa!!!! Imekaaa kishua Sana   Usisahau ku - follow   nyingi Sana    ndo zakutosha 🤔Ju...
15/04/2023

Sema Nini Jumamosi ya leo Imekaa..?

Haa!!!! Imekaaa kishua Sana
Usisahau ku - follow
nyingi Sana ndo zakutosha 🤔
Jumamosi njema

Jambo la kufanya weekend hii Hivi unajua siku za kutoa offer kwa wateja wako ?Siku zuri za offer huwa Ni siku K**a weeke...
14/04/2023

Jambo la kufanya weekend hii

Hivi unajua siku za kutoa offer kwa wateja wako ?
Siku zuri za offer huwa Ni siku K**a weekend , sikuku , siku ya kuzaliwa kwa mbali na mwisho wa mwenzi au mwaka Nakupa mtonyo Sasa Wape offer weekend hii wateja wako

Uwe na weekend njema

Jumatatu ya pasaka uwe na wiki njema pia jumatatu njema
10/04/2023

Jumatatu ya pasaka uwe na wiki njema pia jumatatu njema

Leo Ni Jumapili ya PASAKA tunapenda kukutakia siku njema
08/04/2023

Leo Ni Jumapili ya PASAKA tunapenda kukutakia siku njema

IJUMAA KUUIjumaa Kuu ni siku ya Ijumaa kabla ya Pasaka ambapo Wakristo wengi duniani wanaadhimisha kifo cha Yesu Kristo ...
06/04/2023

IJUMAA KUU

Ijumaa Kuu ni siku ya Ijumaa kabla ya Pasaka ambapo Wakristo wengi duniani wanaadhimisha kifo cha Yesu Kristo msalabani.
Hivyo basi inawataikia ijumaa Kuu Wakristo wote Duniani

Address

Malimbika
Dar Es Salaam
15121

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mozzinvestmentltd posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mozzinvestmentltd:

Share