21/12/2016
Habari Ndugu,
WXY TRADING COMPANY LTD ni kampuni ya uuzaji wa bidhaa .kwa kila aina ya bidhaa utakayoihitaji moja kwa moja kutoka kiwandani katika nchi ya china na kwingineko duniani.
Kampuni hii inausajili wa nchi mbili,Tanzania na China na tupo na ushirikiano na viwanda tofauti tofauti vinavyotengeneza bidhaa mbalimbali kadili ya mahitaji yako.
*Faida ya kufanya kazi Nasi*
Pamoja nasi,una uhakika wa kupata:
1.Bidhaa zenye ubora na warant.
2.Bei nafuu kwa kuwa bidhaa zinatoka kiwandani moja kwa moja.
3.Muda mfupi wa kuzipokea bidhaa hizo.
4.Unayo nafasi ya kuchagua mtindo upi unaohitaji bidhaa yako ije nayo. (customer made)
Kwa bidhaa zote za teknologia k**a computer,simu,ipads,TV, na vinginevyo ni ndani ya wiki moja,tunakukabidhi mzigo wako,bidhaa zinakuja kwa ushirikiano na kampuni kubwa za usafirishaji duniani mf DHL,hivyo kuwa na uhakika wa usalama wa mzigo wako.
Kwa bidhaa kubwa k**a mashine,vifaa vya ndani na viwandani ni muda wa siku 28.
*Namna ya kufanya Biashara*
1.Tupokea oda yako ya bidhaa zako unazohitaji,na zitafanyiwa kazi kwa kupeleka kiwandani na ndani ya masaa 6-12 baada ya kupokea oda yako utajulishwa bei ya mzigo wako ili tufanye biashara.
2.Mzigo utakufikia na utaweza kufanya malipo ya oda yako,baada ya kupokea mzigo wako.
3.Kwa mzigo mkubwa wa mahitaji yako,tunayo nafasi ya kuzungumza kwa ajili ya punguzo la bei kutoka kiwandani moja kwa moja.
*Aina ya Bidhaa tunazoshughulika nazo*
Tunashughulika na bidhaa za aina zote,kuanzia
_Nguo za kike/kiume
_Uniforms(sare)
_Mashine za aina zote
_Vifaa vya umeme
_Vifaa vya ndani na Jikoni
_Vifaa vyote vya madukani
_Vifaa vya usafi
_Vifaa vya kilimo.
_Ulimbo wa kila aina ukiwemo wa ndani(wallpapers)
_Vifaa vyote vya mawasiliano na
Kila aina ya bidhaa utakayoitaji moja kwa moja kutoka kiwandani.
Ukiwa k**a Ndugu yangu/rafiki/Jirani/na Mtu mwenye kujali kilicho bora,naomba niunge mkono katika hii biashara.
1.Kwa kufanya oda zako pamoja nasi.
2.Kunisambazia habari hizi njema kwa watu wako,Wafanya biashara unaofahamiana nao wa karibu na wale unaowafahamu wenye kupenda kilicho bora.
Karibu sana WXY Trading Company Ltd
Wasiliana nasii kwa maelezo zaidi.
0764 713056
0752473341
[email protected]
Tunapatikana,
Njiro Nalopa,
Bamprass Petrol Station first floor.
P.o box 694
Arusha.
Lakini tuna fanya kazi nchi nzima.