AAIDRO SACCOS

AAIDRO SACCOS Chama Cha Ushirika wa Akiba Na
Mikopo

LEO TAREHE 21.02.2024 AAIDRO SACCOS LTD IMETOA P**A ZA KUHIFADHI TAKA IKIWA NI SEHEMU YA KUKUMBUSHA JAMII NDANI PAROKIA ...
21/02/2024

LEO TAREHE 21.02.2024 AAIDRO SACCOS LTD IMETOA P**A ZA KUHIFADHI TAKA IKIWA NI SEHEMU YA KUKUMBUSHA JAMII NDANI PAROKIA KUTUNZA MAZINGIRA YAO PIA AAIDRO SACCOS IMETIMIZA MSINGI NAMBA SABA WA USHIRIKA AMBAO NI KUJALI JAMII.

AAIDRO SACCOS LTD-KUA KIUCHUMI BORESHA MAISHA YAKO.

Uongozi wa Aaidro Saccos Ltd, unawatakia wanachama na watanzania wote Heri ya Krismasi na Mwaka Mpya
24/12/2023

Uongozi wa Aaidro Saccos Ltd, unawatakia wanachama na watanzania wote Heri ya Krismasi na Mwaka Mpya

"Uhuru wetu, ndoto yetu. Tuna sherekea miaka mingi ya mafanikio na umoja. Hongera Tanzania! ๐ŸŒŸ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ    "
09/12/2023

"Uhuru wetu, ndoto yetu. Tuna sherekea miaka mingi ya mafanikio na umoja. Hongera Tanzania! ๐ŸŒŸ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ "

WANACHAMA WA AAIDRO SACCOS LTD WAMEFANIKIWA KUPATIWA MAFUNZO NA WAHADHIRI KUTOKA CHUO KIKUU CHA KIKUU CHA USHIRIKA MOSHI...
20/11/2023

WANACHAMA WA AAIDRO SACCOS LTD WAMEFANIKIWA KUPATIWA MAFUNZO NA WAHADHIRI KUTOKA CHUO KIKUU CHA KIKUU CHA USHIRIKA MOSHI.

MAFUNZO HAYA YAMEFANYIKA KATIKA UKUMBI WA EPIPHANY CENTRE BURKA

AAIDRO SACCOS LTD- KUA KIUCHUMI BORESHA MAISHA YAKO.

VIONGOZI WA AAIDRO SACCOS LTD WAMEFANIKIWA KUPATIWA MAFUNZO NA WAHADHIRI KUTOKA CHUO KIKUU CHA KIKUU CHA USHIRIKA MOSHI....
16/11/2023

VIONGOZI WA AAIDRO SACCOS LTD WAMEFANIKIWA KUPATIWA MAFUNZO NA WAHADHIRI KUTOKA CHUO KIKUU CHA KIKUU CHA USHIRIKA MOSHI.

MAFUNZO HAYA YAMEFANYIKA KATIKA UKUMBI WA EPIPHANY CENTRE BURKA

AAIDRO SACCOS LTD- KUA KIUCHUMI BORESHA MAISHA YAKO.

Address

P. O Box 3044
Arusha
23000

Opening Hours

Monday 08:00 - 16:00
Tuesday 08:00 - 16:00
Wednesday 08:00 - 16:00
Thursday 08:00 - 16:00
Friday 08:00 - 16:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AAIDRO SACCOS posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share