MOGO Kenya

MOGO Kenya The official page for MOGO Kenya. We offer the Best Price Guaranteed for:
Car Financing & Logbook Loans | Boda-boda & TukTuk Financing / Logbook Loans.

Flexible terms. Trusted support. Financing that works for YOU. Licensed and regulated by CBK.

28/08/2026

We know your boda ni more than just a bike ni your hustle, your income, na how you keep moving.

With MOGO, security comes first. Tunafanya physical verification na require the right documents before financing.

To finance your next boda, you’ll need National ID, 6 months M-Pesa statement, KRA PIN & the required deposit.

With repayment of up to 12/18 months, you can choose what works for your hustle.

Ready for your next move? Apply via https://apply.mogo.co.ke/pb3 , call 0768469112 or visit a MOGO branch near you.

Hustle yako matters. Security yako matters.

26/08/2026

Loan haifai kuwa kitu inakutisha ama inakuchanganya.

Hiyo ndio maana tulifika Busia Training kuwasaidia watu kuelewa loans na financing better — requirements ni gani, repayment inafanyaje kazi na what you should know before you borrow.

Ukona questions kuhusu financing? Visit any MOGO branch, tupigie 0768469112, ama apply through https://apply.mogo.co.ke/0my. Tuelewane kwanza, then tufanye next move pamoja.

Hustle haiwezi stop, na phone yako pia haifai kubaki nyuma.  Upgrade to the itel Power 80 through MOGO Smartphone Financ...
24/08/2026

Hustle haiwezi stop, na phone yako pia haifai kubaki nyuma. Upgrade to the itel Power 80 through MOGO Smartphone Financing and lipa mdogo mdogo.

Uko 21–65 years? Uko na National ID, active Safaricom line + M-Pesa account ya at least 6 months na deposit ya device?

Then you can get started. Apply hapa https://apply.mogo.co.ke/z26 ama tembea kwa MOGO branch yoyote. Questions? Call 0768469112.

MOGOKenya

Best Price Guarantee in Kenya for Car Loan, Logbook Loan, Boda Loan from MOGO ✔️Loan of up to 80% car's value & repayment period of up to 24 months! ✔️Flexible Repayment Terms

Mwaka isiishe hivo tena! Watu wamesema Mogo imeshika momentum… Si pia wewe umeona? 🙌🏾 Sasa shika boda yako na uende nayo...
20/08/2026

Mwaka isiishe hivo tena!
 
Watu wamesema Mogo imeshika momentum…
 
Si pia wewe umeona? 🙌🏾
 
Sasa shika boda yako na uende nayo bila stress!
 
Deposits ni kuanzia 33K, then uwakilishe mtaa yako with your next big move.
 
Unangoja nini? Apply leo through - mogo.co.ke/leads/boda-tvs-hlx
 

Get a boda boda loan from MOGO within 2 hours! You can ride your motorcycle for as low as KES 452 a day. New & Used Bajaj, TVS, Honda, Haojin and other makes

18/08/2026

Ebu cheki hii TVS Bike!

Unatafuta bike ya kukeep up na daily hustle? Hii TVS Hlx 125 iko ready for the road.

Watch hii review, check out what it offers.

Na k**a umeamua kuifanya yako, MOGO iko hapa kukusaidia ku-finance selected TVS Hlx 125 model na flexible repayment ya up to 12/18 months.

Utahitaji physical verification, National ID, 6 months M-Pesa statement, KRA PIN na deposit ya model umechagua.

Apply through https://apply.mogo.co.ke/pb3, call 0768469112 ama visit any MOGO branch.

'

Kila mtu ako na next move yake. Sisi tuko hapa kukusaidia uifikie. Machakos Branch Launch & Service Clinic ilikuwa about...
17/08/2026

Kila mtu ako na next move yake. Sisi tuko hapa kukusaidia uifikie.

Machakos Branch Launch & Service Clinic ilikuwa about bringing MOGO closer kwa watu wa machakos tukiongea kuhusu financing, loans na working together na Bajaj kuleta service support closer.

K**a next move yako ni kuget your own bike, hauko solo. MOGO iko hapa kufanya financing iwe simple, clear na easy kuelewa, na repayment yenye iko flexible hadi 12/18 months.

Ready kusonga? Apply kupitia https://apply.mogo.co.ke/pb3, call 0768469112 ama visit any MOGO branch.

15/08/2026

Kehancha, tuko officially hapa! 🎉

Your trusted financing partner has opened doors karibu na wewe. Sasa unaweza kupata the support you need for your hustle, biashara na dreams zako bila kusafiri mbali.

MOGO Kehancha Branch iko ready kukuserve na kukusaidia kumove forward. 🚀

Apply now: https://apply.mogo.co.ke/pb3
📍 Visit our Kehancha Branch leo and let’s get started.
📞 Call us on 0768469112

13/08/2026

The viral challenge ya “Bag Ni Ya Nini” imefika MOGO

Hatuwezi baki nyuma

Press play and find out what our colleagues think the bag is for😂

wewe ungesema bag ni ya nini?..

www.mogo.co.ke

Haojin Rhino 125 iko ready for the hustle! Fuel economy? Check. Durability? Check.Whether ni town runs ama rough routes,...
12/08/2026

Haojin Rhino 125 iko ready for the hustle!

Fuel economy? Check. Durability? Check.
Whether ni town runs ama rough routes, hii bike iko game.

Ride smart, hustle harder, na Rhino ikupatie mileage ya maana.

Ready kuingia road? Rhino 125 iko hapa

Hustle isisimame, songa mbele na MOGO. Tupigie 0768469112, ama apply through https://apply.mogo.co.ke/pb3

Address

Ngong Road (Ground Floor)
Nairobi
2910700100

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 13:00

Telephone

+254768469112

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MOGO Kenya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to MOGO Kenya:

Shortcuts

Share

Category