29/04/2026
Microhealth Insurance Kenya – Bima ya Afya Nafuu Inayofaa Familia na Biashara
Bills za hospitali hazitoi notice. Zinakuja ghafla k**a mvua ya Nairobi. Ndiyo maana Microhealth Insurance Kenya ipo — kukupa kinga ya afya iliyo nafuu kwa familia, chama, SME, SACCO, vikundi vya kujisaidia na wafanyakazi.
Linda maisha yako, biashara yako, na watu unaowapenda bila kuvunja budget.
Faida za Cover
• Inpatient – KSh 500,000
• Outpatient – KSh 75,000
• Maternity – KSh 75,000
• Dental – KSh 10,000
• Optical – KSh 10,000
• Last Expense – KSh 75,000
Premium ya Mwaka (Umri Siku 1 hadi Miaka 70)
• Member Pekee – KSh 20,000
• Member + Dependant 1 – KSh 31,000
• Member + Dependants 2 – KSh 35,000
• Member + Dependants 3 – KSh 37,000
Inafaa Kwa:
Familia | Chama | SME | Vikundi | Wafanyakazi | Mtu Binafsi
Usingoje shida ikufunze kupanga.
Anza leo kabla maisha yakuletee mtihani kesho.
WhatsApp Tupatie Kukupatia Quotation Bure - +254 745 218 460 | +254 113 619 635 | +254 113 806 810 | +254 103 806 588
Website: www.imana.co.ke | www.mykava.co.ke